Wanaume kujifanya wanawake Bar

Wanaume kujifanya wanawake Bar

Ugumu wa maisha ni kipimo Cha akili.

Japo ni disgusting mi naona wamekuwa wabunifu zaidi kupata easy money. [emoji1787]
 

Attachments

  • Screenshot_20220901-132519_1.jpg
    Screenshot_20220901-132519_1.jpg
    65.2 KB · Views: 8
  • IMG-20221014-WA0006.jpg
    IMG-20221014-WA0006.jpg
    91.4 KB · Views: 8
Jamani, hivi karibuni nilipost instagram video tatu za vijana ambao wameshtukiwa baada ya kujifanya wanawake kisha kuwaomba pesa washkaji bar.

Mademu hao vidume huwa wanategea mtu alewe kisha wanakubaliana naye kwenda kulala na ndipo ataomba pesa ya kinywaji, mara pesa ya kumnunua..nk..ndipo wakati wa kuondoka atajifanya period imeanza ghafla.

Sasa hii tabia ingawa kwa bongo haijathibitika ila naamini kuna wana kibao tu wanaingia mkenge kwa hawa wahuni wanaojiremba kuzidi hata wanawake.

Sasa sijui tatizo ni ugumu wa maisha au ndo mazoea ya kupenda utelezi?


View attachment 2406499
KITAMBAA Cheupe
 
Back
Top Bottom