Wanaume kujikunakuna hadharani!

Wanaume kujikunakuna hadharani!

dogo mmoja kauliza mama hii kitu nikiamkapo tu inakuwa imesimama kama stick mpaka inauma vipi hii mama anatak kumpeleka spitali nilizuia isiwe noma nilitumia utu uzima
 
AU muozeshe mtafutie mke size yake ,huenda ikamaliza katabia hako,vijijini ukitembea utawakuta watoto wadogo na wake zao.
 
Ha ha ha ha ha Shishi umenichekesha sana ha ha ha ha hizi tunaziita gogogo zinasababishwa hasa na joto la Dar na inabidi uwe msafi sana ili joto la Dar lisikuletee hizo gogogo na hali hii hata wanawake pia hupatwa na hizi gogogo, sasa na joto la Dar halafu maji hakuna wiki tatu au hata zaidi basi huwa kivumbi na jasho ha ha ha ha

Sisi wa ziwa Victoria ukitamka Gogogo ni aina ya samaki apatikanaye ziwa victoria. Sasa mtoto wa miaka miwili, kama hiyo gogogo inasababishwa na uchafu, hapo wazazi ndio wa kulaumiwa.
 
Jamani hii tabia tunajua wanaume wengi wanayo. sasa imemtokea my sister in law... mtoto wake wa kiume who is hardly 2 yrs old anapenda sana kushikashika vitu vyake hata hadharani..sasa she does not know how to stop or discourage it....is it a man thing...involuntary or voluntary...huyo mtoto kwa nini ana hii tabia?

Kujikuna? kujishikashika? Both can be involuntary but they are never a 'man thing'.

Kama walivyosema wengine kujikuna mara nyingi ni reflex ya muwasho (kama ni persistent inaweza kuwa ni dalili ya ugonjwa!). Kwa mtoto wa miaka miwili, obviusly, bado hajawa na soni hivyo popote pale kama anawashwa atajikuna tu!

Hili la kujishikashika nadhani ni tatizo la kisaikologia (tabia) ambalo kama halita patiwa tiba linaweza kuendele hadi utu uzima. Labda huyo mtoto amegundua thamani kubwa ya hiyo kitu na hivyo mara zote he want to make sure it is still there!
 
....ila huyo wa miaka miwili mbona bado ni mduchu sana ,halafu wacha kutuburuza mtoto wa miaka miwili hata kusimama huwa bado hajaweza vizuri.

Sijakuelewa vizuri hapo. Unamaanisha mtoto wa miaka miwili hajasimama au hasimamishi?

All in all mtoto wa miaka miwili anaweza kufanya yote.
 
Jamani hii tabia tunajua wanaume wengi wanayo. sasa imemtokea my sister in law... mtoto wake wa kiume who is hardly 2 yrs old anapenda sana kushikashika vitu vyake hata hadharani..sasa she does not know how to stop or discourage it....is it a man thing...involuntary or voluntary...huyo mtoto kwa nini ana hii tabia?

Pengine anawashwa sehemu zake hizo, unajua watoto wadogo wengi wanaachwa na nguo muda mrefu bila kuangaliwa
 
haahahhahah wanajamiii wana vituko mpaka basi.

Ila shishi unajua hapo kuna vitu viwili mtoto kushikashika dudu yake na wanaume kujikuna madudu yao mbele za watu. sasa mie nakujibu la mtoto kujishikashika kwasababu na wangu alikuwa na tabia hiyohiyo nikaogopa nikampeleka hospitali akapimwa UTI ikawa negative, docta akamchunguza physically akasema hana tatizo kwasabbu nimeshamtahiri so hana govi. ila docta akaniambia sometimes watoto wanadevelop vijitabia kama vile kunyonya vidole au mdomo ect, kwahiyo hiii ni moja ya vitabia hivyo ambavyo sio nzuri coz anaweza kukua nayo hivyo akanishauri nimkataze tu.
ila nilivyokuwa namchunguza mwenyewe nikimuogesha wakati nampaka lotion nikagundua anaona mchezo vile akishika kisha dudu inasimama bilieve me inasimama kabisa kisha yeye anasema 'dudu' anachekelea, nikajua itakuwa hilo neno la dudu kalipata kwa housegal nikamkataza housegal asimwambie mtoto maneneo yasiostahili so nikawa na kazi ya kumwambia ACHA MBAYA HIYO. basi ataleast now anaacha slowly hashiki kila mara ilaalikuwa anaenjoy akishika kisha inasimama,
so mummy mwambie akamcheck hospitali na aombe ushauri kwa daktari lakini kumpiga sio solution.
 
Duh Fidel80 banaaeeeee!!!..Unahitaji sala weye!

Hehehehe Mkuu Ab-Titchaz wakuniombea ni Yo Yo nasubili yeye amekuwa wa kwanza kumdondokea mola nasubili mabadiliko kisha namfuata hata chumvini nitaacha.
 
hivi agika, ni kitu gani kinachosababisha watoto kudevelop hivi vitabia?
 
Hehehehe Mkuu Ab-Titchaz wakuniombea ni Yo Yo nasubili yeye amekuwa wa kwanza kumdondokea mola nasubili mabadiliko kisha namfuata hata chumvini nitaacha.
uache kuexpress kwanza! chumvini sio dhambi usimkosesshe raha bure mwanaJ
 
Jamani hii tabia tunajua wanaume wengi wanayo. sasa imemtokea my sister in law... mtoto wake wa kiume who is hardly 2 yrs old anapenda sana kushikashika vitu vyake hata hadharani..sasa she does not know how to stop or discourage it....is it a man thing...involuntary or voluntary...huyo mtoto kwa nini ana hii tabia?

Nimecheka kweli. Kwa umri huo ni kawaida mtoto wa kiume kushika uume wake na kuuchezea tena hadharani bila kuogopa. Wengine huwa wanavua kaptula kabisa kuchezea mbele za watu na hawaogopi kwani bado hawajapata ufahamu wa kutambua kama ni sehemu ya kuficha. First and foremost wanaona ni kitu cha ajabu kinaning'inia katika mwili wake. Wengi wanaacha tabia hiyo wakifikia miaka mitatu, na weningine huchelewa ila si kufikia five years.

Cha msingi usimpige, mweleweshe kuwa ficha watu wanakucheka na ataacha. Kwa kawaida watoto wadogo hawapendi kuchekwa hivyo ataacha tu mwenyewe. Cha msingi mzazi uwe na subira na kuwa muda wote akitoa uume wake mwambie arudishe. Hizi si tabia ni processes tu za utoto na huwa hazidumu.

Ila kama anawashwa ni tatizo na mpeleke kwa daktari wa watoto atakushauri, pengine unamfunga mno pampers wakati kwa umri huo anatakiwa awe free hasa mchana na pamperss usiku ila pia ni wakati ambao mama anatakiwa awe anamwamsha mtoto kukojoa usiku. Pampers anavaa tu si kwa lengo la kukojolea bali ni kwa lengo la "bed wetting accidents"
 
jaribu kumwangalia kwa makini sana. Yawezekana kabisa huyo mtoto ameshafikia umri wa kula mzigo, sasa anatamani mzigo.
 
Mtoa mada Shishi, kichwa cha mada ni:'wanaume kujikuna madude yao hadharani',hebu niambie iweje kile ambacho la'aziz wako anakitumia kukupa hanjam leo hii ukiite 'lidude'?Niambie ukweli Shishi mbele ya hadhara hii ya wana JF hivi unapokuwa katika lindi zito la maromansi ukikolea ukataka sasa majamboz yaanze unamwambia sweet honey kwamba "ing...... dude lako sasa",do you really say that? sema mamaaaa unatamka hivyo? Au unasema "darling please,ooh baby naomba..........."
 
God! nimecheka nikaanguka!! sasa kwani ni ya kuomba tena??? akinikosea litakuwa dude.... na wale wanaokunakuna hadharani pia ni madude!!! tabia inaudhi sana hiyo.... ila wewe Bishanga umetokea wapi!!!!
 
Waheshimiwa wachangiaje mbona mnapoteza maana ya swali. Hoja sio kujikuna bali ni kushikashika na wala sio kujikuna.

Kwa ufupi huo ndio uanaume wa kiafrika (sijatembea nje ya Afrika) kuzikagua amana zako kila wakati and is more inborn than induction. Hata umchape haitamsaidia zaidi ya kutafuta kwanini nachapwa na (akifika kama miaka 6) kuanza kukitumia kafaa chake madhubuti kwa kazi yake halisi. Kumchapa ni kumharibu zaidi ya kumkanya.
 
Jamani hii tabia tunajua wanaume wengi wanayo. sasa imemtokea my sister in law... mtoto wake wa kiume who is hardly 2 yrs old anapenda sana kushikashika vitu vyake hata hadharani..sasa she does not know how to stop or discourage it....is it a man thing...involuntary or voluntary...huyo mtoto kwa nini ana hii tabia?

...mkatazeni kuangalia video au sijui DvD za michael Jackson (RIP), ...la sivyo mnunulieni chupi saizi yake, labda alizonazo zinambana! 🙂
 
God! nimecheka nikaanguka!! sasa kwani ni ya kuomba tena??? akinikosea litakuwa dude.... na wale wanaokunakuna hadharani pia ni madude!!! tabia inaudhi sana hiyo.... ila wewe Bishanga umetokea wapi!!!!
Natokea wapi? natokea kijiji kinaitwa Katerero,Wilaya ya Bukoba vijijini. Na wewe?
ps: By the way Shishi ulisema uta ni pm kuhusu kuhusu angaza,halafu ikawaje tena? na neno 'midude yao' mbona umelifuta kwenye title ya thread?
 
Last edited:
Back
Top Bottom