Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,574
- 522
dogo mmoja kauliza mama hii kitu nikiamkapo tu inakuwa imesimama kama stick mpaka inauma vipi hii mama anatak kumpeleka spitali nilizuia isiwe noma nilitumia utu uzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha ha Shishi umenichekesha sana ha ha ha ha hizi tunaziita gogogo zinasababishwa hasa na joto la Dar na inabidi uwe msafi sana ili joto la Dar lisikuletee hizo gogogo na hali hii hata wanawake pia hupatwa na hizi gogogo, sasa na joto la Dar halafu maji hakuna wiki tatu au hata zaidi basi huwa kivumbi na jasho ha ha ha ha
Sijui kama Wanawake nao hujikuna MBELE ZA WATU.
Jamani hii tabia tunajua wanaume wengi wanayo. sasa imemtokea my sister in law... mtoto wake wa kiume who is hardly 2 yrs old anapenda sana kushikashika vitu vyake hata hadharani..sasa she does not know how to stop or discourage it....is it a man thing...involuntary or voluntary...huyo mtoto kwa nini ana hii tabia?
....ila huyo wa miaka miwili mbona bado ni mduchu sana ,halafu wacha kutuburuza mtoto wa miaka miwili hata kusimama huwa bado hajaweza vizuri.
Duh Fidel80 banaaeeeee!!!..Unahitaji sala weye!...Unataka uulize hata akiamuka asubuhi imesimama kwanini inasimama hiyo ni involuntary
Jamani hii tabia tunajua wanaume wengi wanayo. sasa imemtokea my sister in law... mtoto wake wa kiume who is hardly 2 yrs old anapenda sana kushikashika vitu vyake hata hadharani..sasa she does not know how to stop or discourage it....is it a man thing...involuntary or voluntary...huyo mtoto kwa nini ana hii tabia?
Duh Fidel80 banaaeeeee!!!..Unahitaji sala weye!
haahahhahah wanajamiii wana vituko mpaka basi.
Ila shishi unajua hapo kuna vitu viwili mtoto kushikashika dudu yake na wanaume kujikuna madudu yao mbele za watu. sasa mie nakujibu la mtoto kujishikashika kwasababu na wangu alikuwa na tabia hiyohiyo nikaogopa nikampeleka hospitali akapimwa UTI ikawa negative, docta akamchunguza physically akasema hana tatizo kwasabbu nimeshamtahiri so hana govi. ila docta akaniambia sometimes watoto wanadevelop vijitabia kama vile kunyonya vidole au mdomo ect, kwahiyo hiii ni moja ya vitabia hivyo ambavyo sio nzuri coz anaweza kukua nayo hivyo akanishauri nimkataze tu.
ila nilivyokuwa namchunguza mwenyewe nikimuogesha wakati nampaka lotion nikagundua anaona mchezo vile akishika kisha dudu inasimama bilieve me inasimama kabisa kisha yeye anasema 'dudu' anachekelea, nikajua itakuwa hilo neno la dudu kalipata kwa housegal nikamkataza housegal asimwambie mtoto maneneo yasiostahili so nikawa na kazi ya kumwambia ACHA MBAYA HIYO. basi ataleast now anaacha slowly hashiki kila mara ilaalikuwa anaenjoy akishika kisha inasimama,
so mummy mwambie akamcheck hospitali na aombe ushauri kwa daktari lakini kumpiga sio solution.
uache kuexpress kwanza! chumvini sio dhambi usimkosesshe raha bure mwanaJHehehehe Mkuu Ab-Titchaz wakuniombea ni Yo Yo nasubili yeye amekuwa wa kwanza kumdondokea mola nasubili mabadiliko kisha namfuata hata chumvini nitaacha.
Jamani hii tabia tunajua wanaume wengi wanayo. sasa imemtokea my sister in law... mtoto wake wa kiume who is hardly 2 yrs old anapenda sana kushikashika vitu vyake hata hadharani..sasa she does not know how to stop or discourage it....is it a man thing...involuntary or voluntary...huyo mtoto kwa nini ana hii tabia?
Duh! Mkuu, mzigo gani unauzungumzia tena?jaribu kumwangalia kwa makini sana. Yawezekana kabisa huyo mtoto ameshafikia umri wa kula mzigo, sasa anatamani mzigo.
Mtoa mada Shishi, kichwa cha mada ni:'wanaume kujikuna madude yao hadharani',hebu niambie iweje kile ambacho la'aziz wako anakitumia kukupa hanjam leo hii ukiite 'lidude'?Niambie ukweli Shishi mbele ya hadhara hii ya wana JF hivi unapokuwa katika lindi zito la maromansi ukikolea ukataka sasa majamboz yaanze unamwambia sweet honey kwamba "ing...... dude lako sasa",do you really say that? sema mamaaaa unatamka hivyo? Au unasema "darling please,ooh baby naomba..........."
Jamani hii tabia tunajua wanaume wengi wanayo. sasa imemtokea my sister in law... mtoto wake wa kiume who is hardly 2 yrs old anapenda sana kushikashika vitu vyake hata hadharani..sasa she does not know how to stop or discourage it....is it a man thing...involuntary or voluntary...huyo mtoto kwa nini ana hii tabia?
Natokea wapi? natokea kijiji kinaitwa Katerero,Wilaya ya Bukoba vijijini. Na wewe?God! nimecheka nikaanguka!! sasa kwani ni ya kuomba tena??? akinikosea litakuwa dude.... na wale wanaokunakuna hadharani pia ni madude!!! tabia inaudhi sana hiyo.... ila wewe Bishanga umetokea wapi!!!!