Wanaume kuleni parachichi, ndizi mbivu, korosho, tangawizi na vitunguu swaumu. Mtakuja kunishukuru

Wakati mwingine wake zenu wanaondoka majumbani kwenu bila kuaga,hawasikii mnapo waambia na hawa watii kwasababu kuna majukumu muhimu sana hamyatimizi ipasavyo.

Huko walikotoka wanaume wenzetu ambao ndio baba wakwe zetu,walitimiza majukumu yao,kwa maana malezi ya hawa warembo,walipata makazi na mavazi na mahitaji mengine yote ambayo walipaswa kuyafanya kama wazazi.

Lakini kuna mahitaji muhimu kama wanadamu ambayo ni jukumu la wanandoa kutimiziana,sasa bahati mbaya sana hao tuliopewa jukumu hilo ambalo tumelitaka wenyewe kwa hiari yetu,na mahari tukatoa na taratibu zote kufuatwa,bahati mbaya sana tunajikuta hatutimizi majukumu yetu vizuri.

Tatizo ni kwamba badala ya kula lishe bora na udambwi udambwi ambao utahimarisha afya yetu ya uzazi, kinyume chake tunabugia yale maji ambayo hubadilisha akili zetu na kujiona tunafurahisha nafsi zetu kumbe tunajiua taratibu,machipsi kwa kwenda mbele yenye mafuta kedekede,mazoezi hatufanyi basi mwisho wa siku tunafeli.

Ufanisi mzuri wa tendo la ndoa unachangiwa sana na lishe bora,matunda kwa wingi,na mlo kamili ambao unavirutubisho vyote,na kula vitu ambavyo vinachangia sana kuboresha afya yetu ya uzazi,kunywa mchuzi wa pweza kama burudani tu lakini sio ndio tunadhani ndio dawa,maana wabongo kwa kupenda shoti kati hatujambo.

Mwanamke hatakiwi kuonewa huruma linapokuja swala la kupeana mianzi,yaani mianzi kwa kwenda mbele,ni bora aombe poo yeye lakini sio wewe kuomba poo,utafeli.

Yaani inatakiwa na ni bora mwanamke ashitaki kwa mashoga zake kuwa baba fulani amezidi kunaniliu kuliko aseme mwenzenu baba fulani yaan siku ya tano leo hajanigusa,,utafeli big time!

Haya maudambwi udambwi nimekwambia,kula ndizi mbivu ikiwezekana kila siku moja,parachichi kwa wingi,korosho,tangawizi [ukiweza kusaga na kuchanganya na asali sawa] au kutafuna yenyewe sawa,mdalasini na asali nayo inaleta sana hamu,jaribu utanishukuru,vitunguu swaumu kula walau punje mbili au tatu kwa siku[ ukiweza kusaga na kuchanga na asali sawa]

Na mazoezi wadau basi tusisahau,tuwe kama wahispania yaani unaweza kudhani wote ni wanariadha,kukimbia kwao ni kama kula,nawapenda sana,,,nami alhamdulillah nafanya jogging walau mara tatu au nne kwa wiki.

Kumbuka ufanisi mzuri wa tendo la ndoa unaenda sambamba na mzunguko mzuri wa damu,kwahiyo mazoezi,na hivyo nilivyotaja hapo juu huchangia sana mzunguko uwe mzuri na ufanisi uwe mzuri,kuna mengi yapo zaidi ya hayo niliyo taja.

Ni hayo tu!
Kaka umeongea kitu kizuri Sana Na cha maana Sana kwenye ndoa Na ndo kinachofanya ndoa iimarike ....a happy wife is a happy home kama mwanamke akiridhishwa vizuri kihisia anakua happy muda wote io happiness ataimbukiza kwako Kwa watoto Na wengineo hapo nyumban....lkn kama akiwa hakidhiwi hisia inavyotakiwa anakua mtu Wa hasira kisirani kelele muda wote kugombagomba ovyo
 
Umenichekesha sana mkuu
Acha tu mkuu yani tunapenda kutompa hatari.... Mtu upo kazini ukiona paja unadinda kama sio kichaa ni nini? Unatembea njiani umepita msambwanda au kamodo unadinda how? Yani mawazo yetu hayapo busy kabsa yapo yanawaza ngono tu....

Yani ni kama tumezaliwa kushiriki tendo na tufe....
Our mentality ni next level....
 
Wakati mwingine wake zenu wanaondoka majumbani kwenu bila kuaga,hawasikii mnapo waambia na hawa watii kwasababu kuna majukumu muhimu sana hamyatimizi ipasavyo.

Huko walikotoka wanaume wenzetu ambao ndio baba wakwe zetu,walitimiza majukumu yao,kwa maana malezi ya hawa warembo,walipata makazi na mavazi na mahitaji mengine yote ambayo walipaswa kuyafanya kama wazazi.

Lakini kuna mahitaji muhimu kama wanadamu ambayo ni jukumu la wanandoa kutimiziana,sasa bahati mbaya sana hao tuliopewa jukumu hilo ambalo tumelitaka wenyewe kwa hiari yetu,na mahari tukatoa na taratibu zote kufuatwa,bahati mbaya sana tunajikuta hatutimizi majukumu yetu vizuri.

Tatizo ni kwamba badala ya kula lishe bora na udambwi udambwi ambao utahimarisha afya yetu ya uzazi, kinyume chake tunabugia yale maji ambayo hubadilisha akili zetu na kujiona tunafurahisha nafsi zetu kumbe tunajiua taratibu,machipsi kwa kwenda mbele yenye mafuta kedekede,mazoezi hatufanyi basi mwisho wa siku tunafeli.

Ufanisi mzuri wa tendo la ndoa unachangiwa sana na lishe bora,matunda kwa wingi,na mlo kamili ambao unavirutubisho vyote,na kula vitu ambavyo vinachangia sana kuboresha afya yetu ya uzazi,kunywa mchuzi wa pweza kama burudani tu lakini sio ndio tunadhani ndio dawa,maana wabongo kwa kupenda shoti kati hatujambo.

Mwanamke hatakiwi kuonewa huruma linapokuja swala la kupeana mianzi,yaani mianzi kwa kwenda mbele,ni bora aombe poo yeye lakini sio wewe kuomba poo,utafeli.

Yaani inatakiwa na ni bora mwanamke ashitaki kwa mashoga zake kuwa baba fulani amezidi kunaniliu kuliko aseme mwenzenu baba fulani yaan siku ya tano leo hajanigusa,,utafeli big time!

Haya maudambwi udambwi nimekwambia,kula ndizi mbivu ikiwezekana kila siku moja,parachichi kwa wingi,korosho,tangawizi [ukiweza kusaga na kuchanganya na asali sawa] au kutafuna yenyewe sawa,mdalasini na asali nayo inaleta sana hamu,jaribu utanishukuru,vitunguu swaumu kula walau punje mbili au tatu kwa siku[ ukiweza kusaga na kuchanga na asali sawa]

Na mazoezi wadau basi tusisahau,tuwe kama wahispania yaani unaweza kudhani wote ni wanariadha,kukimbia kwao ni kama kula,nawapenda sana,,,nami alhamdulillah nafanya jogging walau mara tatu au nne kwa wiki.

Kumbuka ufanisi mzuri wa tendo la ndoa unaenda sambamba na mzunguko mzuri wa damu,kwahiyo mazoezi,na hivyo nilivyotaja hapo juu huchangia sana mzunguko uwe mzuri na ufanisi uwe mzuri,kuna mengi yapo zaidi ya hayo niliyo taja.

Ni hayo tu!
Hii ndio mikasa inayovutia sana!🙏
 
Duuu, hayo yote ili mradi kufanya ngono?

Mnaki overrate sana hicho kitendo.kitendo.
 
Wakati wewe unakula ivyo vyote yeye anakula nini? Wakati unafanya jitihada zote izo kumridhisha yeye anafanya jitihada gani?

Women are not logical, that is why great philosophers never really kept women in serious relationships, and I have never heard of a woman philosopher. Have you ever heard of one?

Women want money, that's their number one priority. If monkies had money Women will be calling them babe there in the jungle
:gachiHYPER: :gachiHYPER:
 
Back
Top Bottom