Wanaume kuleni parachichi, ndizi mbivu, korosho, tangawizi na vitunguu swaumu. Mtakuja kunishukuru

Kaka umeongea kitu kizuri Sana Na cha maana Sana kwenye ndoa Na ndo kinachofanya ndoa iimarike ....a happy wife is a happy home kama mwanamke akiridhishwa vizuri kihisia anakua happy muda wote io happiness ataimbukiza kwako Kwa watoto Na wengineo hapo nyumban....lkn kama akiwa hakidhiwi hisia inavyotakiwa anakua mtu Wa hasira kisirani kelele muda wote kugombagomba ovyo
 
Umenichekesha sana mkuu
Acha tu mkuu yani tunapenda kutompa hatari.... Mtu upo kazini ukiona paja unadinda kama sio kichaa ni nini? Unatembea njiani umepita msambwanda au kamodo unadinda how? Yani mawazo yetu hayapo busy kabsa yapo yanawaza ngono tu....

Yani ni kama tumezaliwa kushiriki tendo na tufe....
Our mentality ni next level....
 
Hii ndio mikasa inayovutia sana!🙏
 
Duuu, hayo yote ili mradi kufanya ngono?

Mnaki overrate sana hicho kitendo.kitendo.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…