Ndioo
Sawa tajiri wa moyo wanguTwende lunch basi..
Hivi hiyo list ya utajiri ni utajiri wa nini?Sawa tajiri wa moyo wangu
Mkuu tayari umemrudisha kwao au roho ya huruma huruma imekupiga kabali.ndo huyo ndugu yangu...yaani kumbe namlipa aje anitendee jambo hilo....we acha tu. hawa madada wa siku hizi hawana soni kabisa.
Muhenga[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Watu watakimbiana humunasubiri LIST ya waliowala watoto wa JF
Kata rufaaMbona yule wa kwangu hayupo hapa na ana mkwanja mrefu sana.
Hii list ni batili[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaah inabidi nicheke tuOntario boya tu musipagawe na forex trading... zile ni nakala tu....
Njaa kama mim tu...
Sent from "La -Vista"
Yaani daby kwenye list ya matajiri JF yupo, wanaopendwa na wanawake JF yupo, mwenye mvuto na ki smart yupo!!! Acheni u.s.e.n.g.e, nimewavumilieni vya kutosha. Mnapaishana tu!!! Heh
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu maana naona huu utafiti wamepeana cha juu ili watangazwe maana kuna watu wapo zaidi ya hawa..mkuu tuendelee tu kulima iko siku nasi tutaitwa matajiri wa JF
Tunamsubiri mtafitiHahahaha
Hiyo list ya masikini angalia isikukumbe mkuu
Mi nmetokea kwenye list ya watu wenye majina mabaya nashangaa hamna wenye majina mazuri na leo wamekuja na list ya matajiri nasubiri list ya watu wasio na mvuto hapa jfKesho utasikia list ya member wenye mishwambandigo mkubwa [emoji41]
Mara list ya wenye miguu mrefu [emoji41].
Sio mbaya ! This is jf with World Guiness book of Records
Hela hizo mwaya..Hivi hiyo list ya utajiri ni utajiri wa nini?
Mkuu tayari umemrudisha kwao au roho ya huruma huruma imekupiga kabali.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pengine huna hiziHivi imekuwaje hiinorodha sipo au mmeniweka kwenye ile ya wahenga[emoji21] [emoji21] [emoji21]
Sent using Jamii Forums mobile app
GuDume kwenye ubora wako kabisamkuu mimi sijui kwa hao wengine ila nahisi kama nlistahili kuwa namba moja maana ...mpaka kuna watu wananishangaa kwa matumizi yangu ya pesa ambazo mi naona ni kidogo tu, naishi peke yangu na nina msichana wa kazi ambaye namlipa tsh 240,000 kwa mwezi kwa maisha ya kibongo sijui kama kuna anayenifikia hapo kati ya hao uliowataja. huyu namlipa hiyo pesa analala kwangu,anakula kwangu na matibabu anapata kwangu.
na utajiri wangu mimi si wa msimu au wa madawa yoyote yale. mimi pesa ninazo yaani hapa ndo kwake. siku nmewaambia wadau kuwa nina TV ya nchi 52 wakashangaa sasa nikaamua kuua kabisa nmenunua TV ya nch 68 nawaalika watu waje watizame mechi za EPL.... nimesikitika sana kuniweka namba 10 wakati huku kwangu ndo pesa zinakoanzia kabla ya kwenda kwenye mzunguko.
anyway hamna noma lakini .... ntawaonesha nina nini na nafanya nini. nlitoa mwaliko kwa watu walio tayari siku ya kesho nataka nichome nyama ya mbuzi ila nataka kujua idadi ya wahusika nijue ni wangapi watakuja kupata nyama choma na vinywaji mkabala wa nyama choma.
Shikamoo dadaKaka shkamo
[emoji41][emoji41] aiseeHela hizo mwaya..