Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

Ontario boya tu musipagawe na forex trading... zile ni nakala tu....

Njaa kama mim tu...

Sent from "La -Vista"
Hahahaah inabidi nicheke tu
Yaani daby kwenye list ya matajiri JF yupo, wanaopendwa na wanawake JF yupo, mwenye mvuto na ki smart yupo!!! Acheni u.s.e.n.g.e, nimewavumilieni vya kutosha. Mnapaishana tu!!! Heh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho utasikia list ya member wenye mishwambandigo mkubwa [emoji41]

Mara list ya wenye miguu mrefu [emoji41].

Sio mbaya ! This is jf with World Guiness book of Records
Mi nmetokea kwenye list ya watu wenye majina mabaya nashangaa hamna wenye majina mazuri na leo wamekuja na list ya matajiri nasubiri list ya watu wasio na mvuto hapa jf
 
ameondoka leo..ila nilimsamehe nikapa pesa yake na ya ziada pia.... kwa kile kitendo nisingeweza endelea kukaa naye.... next time si angenilewesha then adumbukize kabisa.......

Mkuu tayari umemrudisha kwao au roho ya huruma huruma imekupiga kabali.
 
Hivi imekuwaje hiinorodha sipo au mmeniweka kwenye ile ya wahenga[emoji21] [emoji21] [emoji21]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pengine huna hizi
075ffa01-3deb-4092-82d7-f82dcf091d43.jpg
una zile nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu mimi sijui kwa hao wengine ila nahisi kama nlistahili kuwa namba moja maana ...mpaka kuna watu wananishangaa kwa matumizi yangu ya pesa ambazo mi naona ni kidogo tu, naishi peke yangu na nina msichana wa kazi ambaye namlipa tsh 240,000 kwa mwezi kwa maisha ya kibongo sijui kama kuna anayenifikia hapo kati ya hao uliowataja. huyu namlipa hiyo pesa analala kwangu,anakula kwangu na matibabu anapata kwangu.

na utajiri wangu mimi si wa msimu au wa madawa yoyote yale. mimi pesa ninazo yaani hapa ndo kwake. siku nmewaambia wadau kuwa nina TV ya nchi 52 wakashangaa sasa nikaamua kuua kabisa nmenunua TV ya nch 68 nawaalika watu waje watizame mechi za EPL.... nimesikitika sana kuniweka namba 10 wakati huku kwangu ndo pesa zinakoanzia kabla ya kwenda kwenye mzunguko.

anyway hamna noma lakini .... ntawaonesha nina nini na nafanya nini. nlitoa mwaliko kwa watu walio tayari siku ya kesho nataka nichome nyama ya mbuzi ila nataka kujua idadi ya wahusika nijue ni wangapi watakuja kupata nyama choma na vinywaji mkabala wa nyama choma.
GuDume kwenye ubora wako kabisa
 
Back
Top Bottom