Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

wanaume wenye mkwanja mrefu jf
Kulingana na utafiti wangu binafsi
Tafadhali changia kwa upendo
1.Troll

2.saint ivuga

3.mshana Jr

4.Daby

5.smart911

6.mtimkavu

7.Ontario

8.kikulacho

9.nyani ngabu

10.Gudume

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mimi hujaniweka kwenye list,pia utajiri wao hao wanamiliki nini weka jina na aina ya mali!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwee! Huyo Gudume mwenyewe anakaa nyumba ya chumba kimoja na analala humo humo na house girl nusu abakwe!

mkuu mimi sijui kwa hao wengine ila nahisi kama nlistahili kuwa namba moja maana ...mpaka kuna watu wananishangaa kwa matumizi yangu ya pesa ambazo mi naona ni kidogo tu, naishi peke yangu na nina msichana wa kazi ambaye namlipa tsh 240,000 kwa mwezi kwa maisha ya kibongo sijui kama kuna anayenifikia hapo kati ya hao uliowataja. huyu namlipa hiyo pesa analala kwangu,anakula kwangu na matibabu anapata kwangu.

na utajiri wangu mimi si wa msimu au wa madawa yoyote yale. mimi pesa ninazo yaani hapa ndo kwake. siku nmewaambia wadau kuwa nina TV ya nchi 52 wakashangaa sasa nikaamua kuua kabisa nmenunua TV ya nch 68 nawaalika watu waje watizame mechi za EPL.... nimesikitika sana kuniweka namba 10 wakati huku kwangu ndo pesa zinakoanzia kabla ya kwenda kwenye mzunguko.

anyway hamna noma lakini .... ntawaonesha nina nini na nafanya nini. nlitoa mwaliko kwa watu walio tayari siku ya kesho nataka nichome nyama ya mbuzi ila nataka kujua idadi ya wahusika nijue ni wangapi watakuja kupata nyama choma na vinywaji mkabala wa nyama choma.
Kweli nyie mnajuana wenyewe
 
Mkuu kama vipi anzisha thread nyingine watu tutupie account zinasoma B ngapi ili kuondoa utata
 
Back
Top Bottom