Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
nasubiri LIST ya waliowala watoto wa JFMkuu mi nasubiri list ya masikini
Unataka vibamia?
Kweli mimi mwenyewe nakata rufaa mbona tumeachwa hii inakuwaje asee!Hatukubali uchakachuaji huu, jina langu halimo?? [emoji87] [emoji107]
Cairo's
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Daby kuya bande hiiYaani daby kwenye list ya matajiri JF yupo, wanaopendwa na wanawake JF yupo, mwenye mvuto na ki smart yupo!!! Acheni u.s.e.n.g.e, nimewavumilieni vya kutosha. Mnapaishana tu!!! Heh
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha count me in, [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]mkuu mimi sijui kwa hao wengine ila nahisi kama nlistahili kuwa namba moja maana ...mpaka kuna watu wananishangaa kwa matumizi yangu ya pesa ambazo mi naona ni kidogo tu, naishi peke yangu na nina msichana wa kazi ambaye namlipa tsh 240,000 kwa mwezi kwa maisha ya kibongo sijui kama kuna anayenifikia hapo kati ya hao uliowataja. huyu namlipa hiyo pesa analala kwangu,anakula kwangu na matibabu anapata kwangu.
na utajiri wangu mimi si wa msimu au wa madawa yoyote yale. mimi pesa ninazo yaani hapa ndo kwake. siku nmewaambia wadau kuwa nina TV ya nchi 52 wakashangaa sasa nikaamua kuua kabisa nmenunua TV ya nch 68 nawaalika watu waje watizame mechi za EPL.... nimesikitika sana kuniweka namba 10 wakati huku kwangu ndo pesa zinakoanzia kabla ya kwenda kwenye mzunguko.
anyway hamna noma lakini .... ntawaonesha nina nini na nafanya nini. nlitoa mwaliko kwa watu walio tayari siku ya kesho nataka nichome nyama ya mbuzi ila nataka kujua idadi ya wahusika nijue ni wangapi watakuja kupata nyama choma na vinywaji mkabala wa nyama choma.
Na mla bata namba moko JFMganga wa kienyej mshana....
Sent from "La -Vista"
[emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nimekubaliNa mla bata namba moko JFtumia pesa ikuzoeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli tena akiwekwa namba 1 siwez kukataaOntario boya tu musipagawe na forex trading... zile ni nakala tu....
Njaa kama mim tu...
Sent from "La -Vista"
asinisahau hapaMkuu mi nasubiri list ya masikini
NimekuonaaaJF inamatajiri hewa wengi sana japo kwa hoja wanaonekana wanazo
Jipigie debe tu.... ni we mwenyewe... jina lingine ili...Sio kweli tena akiwekwa namba 1 siwez kukataa
Nipo kamanda mbona haupo kwenye list ya wanao miliki mkwanjaNimekuonaaa