Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Cuzoo nakuonaMbona yule wa kwangu hayupo hapa na ana mkwanja mrefu sana.
Hii list ni batili[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cuzoo nakuonaMbona yule wa kwangu hayupo hapa na ana mkwanja mrefu sana.
Hii list ni batili[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Pambana na hali yako
Nimekuja jamanMarhaba
Mpigie bhasiii
Nipo mkuu...[emoji2] [emoji2]Muhenga
ForbesUmetumia kipimo gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa tajiri wa moyo wangu
Umechekesha sana Leo ndyo nimegundua kuwa afya yako ya akili haipo sawa kumiliki Tv ya nchi hizo ni kipimo cha utajiri?mkuu mimi sijui kwa hao wengine ila nahisi kama nlistahili kuwa namba moja maana ...mpaka kuna watu wananishangaa kwa matumizi yangu ya pesa ambazo mi naona ni kidogo tu, naishi peke yangu na nina msichana wa kazi ambaye namlipa tsh 240,000 kwa mwezi kwa maisha ya kibongo sijui kama kuna anayenifikia hapo kati ya hao uliowataja. huyu namlipa hiyo pesa analala kwangu,anakula kwangu na matibabu anapata kwangu.
na utajiri wangu mimi si wa msimu au wa madawa yoyote yale. mimi pesa ninazo yaani hapa ndo kwake. siku nmewaambia wadau kuwa nina TV ya nchi 52 wakashangaa sasa nikaamua kuua kabisa nmenunua TV ya nch 68 nawaalika watu waje watizame mechi za EPL.... nimesikitika sana kuniweka namba 10 wakati huku kwangu ndo pesa zinakoanzia kabla ya kwenda kwenye mzunguko.
anyway hamna noma lakini .... ntawaonesha nina nini na nafanya nini. nlitoa mwaliko kwa watu walio tayari siku ya kesho nataka nichome nyama ya mbuzi ila nataka kujua idadi ya wahusika nijue ni wangapi watakuja kupata nyama choma na vinywaji mkabala wa nyama choma.
Basi Sawa tuu[emoji41][emoji41] aisee
[emoji122][emoji122] zao..
Sijambo dada za wewe nimeona jaman ndio nini kumpa makavu lakini au unataka uniulie mumeMarahaba mdogo wangu...
Mumeo anakutafuta ujue
Ushmen Nimekumiss ujue.... Nani alikufichaNipo mkuu...[emoji2] [emoji2]
Skuizi nilisha ishiwa maneno tangia pale nilipo anzishiwa uzi wa kuchukiwa
Hahahahaha.Nipo mkuu...[emoji2] [emoji2]
Skuizi nilisha ishiwa maneno tangia pale nilipo anzishiwa uzi wa kuchukiwa
Nini sasaaa... Ndo boss wa moyo huyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo mkuu...[emoji2] [emoji2]
Skuizi nilisha ishiwa maneno tangia pale nilipo anzishiwa uzi wa kuchukiwa
usihofu mkuu,ngoja tuuze mazao yetu na Madini kule KIVU,halafu wafanye tena tafitiSawa mkuu maana naona huu utafiti wamepeana cha juu ili watangazwe maana kuna watu wapo zaidi ya hawa
Nalifahamu dada ujueNini sasaaa... Ndo boss wa moyo huyoo