Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

Utajiri wa nini!? Maana pesa sio kipimo cha utajiri, ukiwa na pesa nyingi ukawa huna busara wala hekima basi sio utajiri!

Ukiwa na pesa nyingi kisha unafanya mambo ya ajabu husaidii watu basi yafaa nini kuitwa tajiri!?
 
ha ha ha.. analiamsha dude.... analiamsha dude sasa.... mpe namba yangu basi.... kula ni kula mbaya kukomba mboga. mlete tu ajue mimi ndo mti mkavu hauchimbwi dawa.

Kwi kwi kwi kwiii GuDume njoo huko. Mke mwenzangu huyu hapa mchukue mi sina wivuu
 
karibu sana mrembo..karibu ukaribie..nikupe kitu ukalie.. karibu kwangu utapata burudiko la moyo... wengi waliopita kwangu hupaita heaven au mbinguni kwa kizaramo. kila kitu unapata kwa kiwango stahiki. karibu sana... utakula mpaka ulambe na mwiko.... ukija kwangu ni full kujiachia....

Wewe sasa ndo mtamu wa kuwa nawe tushee Gudume maana naona house g anamtesaga

IRON LADY!!!!
 
ha ha ha.. analiamsha dude.... analiamsha dude sasa.... mpe namba yangu basi.... kula ni kula mbaya kukomba mboga. mlete tu ajue mimi ndo mti mkavu hauchimbwi dawa.
Namba mtapeana huko..mi nimekuita tuuu
 
Yani watu wanagombana na mwandishi, kwani aliyekwambia jamii forum ni jarida la forbs[emoji23][emoji23][emoji23] hata ujiandika mara 100000 kama huna huna..kama anazo anazo tu..

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
wanaume wenye mkwanja mrefu jf
Kulingana na utafiti wangu binafsi
Tafadhali changia kwa upendo
1.Troll

2.saint ivuga

3.mshana Jr

4.Daby

5.smart911

6.mtimkavu

7.Ontario

8.kikulacho

9.nyani ngabu

10.Gudume

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitumia methodology gani katika utafiti wako? na unaposema 'Mkwanja mrefu JF' unakua unamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom