DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
- Thread starter
- #541
Pesa mzeeUlitumia methodology gani katika utafiti wako? na unaposema 'Mkwanja mrefu JF' unakua unamaanisha nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa mzeeUlitumia methodology gani katika utafiti wako? na unaposema 'Mkwanja mrefu JF' unakua unamaanisha nini?
HatutakiiiiiiiDaby na mtu mzito saint Ivuga jamani mawapenda gafla
IRON LADY!!!!
Mkuu inna si ulisema ni mbilikimo bado anakula hela yako!!![emoji23] [emoji23]muosha rungu nakupeleka mahakamani,
Utaj
Kaa sello moja na mafisadi wahujumu uchumi kina manji.
Tokea u expose utajiri wangu nimeingia hasara kuvwa sana kwa sababu watoto wa Jf wengi wamenifuata PM na kunipiga mizinga mikubwa mikubwa sana.
Na mimi nnavyogawa pesa kama ndama mutoto ya n'gombe nimekuwa nawamwagia mapesa.
Lakini kuna huyu Inna inabidi arudishe pesa zangu nusu kwa sababu kachukua nyingi sanaaaaaa.
Hasara zote hizi kazisababisha huyu kijana muosha rungu mzee wa kuwapiga watu interview. Mzee wa swagga
Mwanamke akiamua kuchukua pesa yako ataichukua tu.Mkuu inna si ulisema ni mbilikimo bado anakula hela yako!!![emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wooooo nakufwaaaaa mimi[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]muosha rungu nakupeleka mahakamani,
Utaj
Kaa sello moja na mafisadi wahujumu uchumi kina manji.
Tokea u expose utajiri wangu nimeingia hasara kuvwa sana kwa sababu watoto wa Jf wengi wamenifuata PM na kunipiga mizinga mikubwa mikubwa sana.
Na mimi nnavyogawa pesa kama ndama mutoto ya n'gombe nimekuwa nawamwagia mapesa.
Lakini kuna huyu Inna inabidi arudishe pesa zangu nusu kwa sababu kachukua nyingi sanaaaaaa.
Hasara zote hizi kazisababisha huyu kijana muosha rungu mzee wa kuwapiga watu interview. Mzee wa swagga
haya nasubiri na wewe na wewe siku ujieke kwenye list
Kwahiyo unataka kusema Nyani Ngabu ana pesa kuliko mimi?
Hawa matajiri uliowalist walikutumia pesa kwanza?
Halafu Nina mpango Wa kukutongoza mtongozo Wa hatariHawa matajiri uliowalist walikutumia pesa kwanza?
Sawa,kwanini unajiita hivyo halafu kama upo tayari kwa usaili ni pmhaya nasubiri na wewe na wewe siku ujieke kwenye list
Usife tunakuhitajiWooooo nakufwaaaaa mimi[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aku! Staki mie..
Ndo usianze sasa maana jibu nishakupa
[emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji43] [emoji49]Mkuu mi nasubiri list ya masikini