Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

muosha rungu nakupeleka mahakamani,
Utaj
Kaa sello moja na mafisadi wahujumu uchumi kina manji.

Tokea u expose utajiri wangu nimeingia hasara kuvwa sana kwa sababu watoto wa Jf wengi wamenifuata PM na kunipiga mizinga mikubwa mikubwa sana.

Na mimi nnavyogawa pesa kama ndama mutoto ya n'gombe nimekuwa nawamwagia mapesa.

Lakini kuna huyu Inna inabidi arudishe pesa zangu nusu kwa sababu kachukua nyingi sanaaaaaa.

Hasara zote hizi kazisababisha huyu kijana muosha rungu mzee wa kuwapiga watu interview. Mzee wa swagga
 
Mkuu inna si ulisema ni mbilikimo bado anakula hela yako!!![emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke akiamua kuchukua pesa yako ataichukua tu.

Labda aamue mwenyewe kuiacha.
Ila akiamua kukomaa nayo lazima uitoe.

Huyu mbilikimo wangu Inna nadhani sasa hivi ameshamaliza kujenga kwa sababu ya pesa zangu.

Lazima zirudi.
 
muosha rungu nakupeleka mahakamani,
Utaj
Kaa sello moja na mafisadi wahujumu uchumi kina manji.

Tokea u expose utajiri wangu nimeingia hasara kuvwa sana kwa sababu watoto wa Jf wengi wamenifuata PM na kunipiga mizinga mikubwa mikubwa sana.

Na mimi nnavyogawa pesa kama ndama mutoto ya n'gombe nimekuwa nawamwagia mapesa.

Lakini kuna huyu Inna inabidi arudishe pesa zangu nusu kwa sababu kachukua nyingi sanaaaaaa.

Hasara zote hizi kazisababisha huyu kijana muosha rungu mzee wa kuwapiga watu interview. Mzee wa swagga
Wooooo nakufwaaaaa mimi[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom