kritika
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 410
- 1,156
unakutana na kimwanaume legevu hata akikupa mkono unahisi umepewa mkono na mwanamke mwenzio.
Mwanaume unakuwa na ngozi kama ya esha buheti huoni hata aibu kuwa laini laini kiivyo,mwanaume hutaki kuchafuka mda wote umevaa vipensi na vindala vya manyoanyoa na kukaa tu vibarazani pumbavuu
Wanaume kwisha habari yenu[emoji23] [emoji23] [emoji23] nalishangaa toto la kiume jirani hapa limegairisha kwenda kwenye mishe mishe zake eti kwa sababu njia inamatope[emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume Muombeni sana Mungu awaonyeshe njia iliyonyoofu
Kabla hujatoa povu mwangalieni mwenzenu LAVA LAVA alivyo legea kama tembele ndio mbishe niyasemayo
Kubali kukosolewa ili ubadilike