Wanaume kuwa na ngozi nyororo kama mwanamke

Wanaume kuwa na ngozi nyororo kama mwanamke

Huyo mwanume aliyekugeuza single mama nadhani alishakufa maana jinsi ambavyo unawajadili wanaume angakuwa bado hai asingeweza kuishi dunia hii.

Na mbona uandike kama unawajua wanaume wote duniani?discuss wale unaowajua yaani wale waliokuzunguka sio kujaza server hapa na mada zako zisizokuwa na kichwa wala miguu.
 
Nilijua tyu ni wale wale sema sikuwa na uhakika 100%.
haaaaaa haaaaaa sio wote mkuu..Mimi ni mwanaume wa daslaam lakini sinaga mambo ya ajabu ajabu!kuna watu wanatuharibia tunaonekana wanaume wa dar wooote ovyo...
 
Kwangu mimi bado nitaendelea kushauri kwamba
1. Kritika ana tatizo kubwa la kisaikolojia lakini mwenyewe anajiona yupo sawa.
2.Anahitaji msaada wa kitabibu.Naweza kumconnect kwa Dismass Lyassa asaidiwe
3.Na kwa nyinyi wadada wenzie msidhanie kumsifia mwenzenu ndo ujiko,mnatakiwa mumsaidie mwenzenu kwa hali na mali na sio kukaa kufurahia kumuona akipotea njia.Anatakiwa asaidiwe.Ndio maana wakati mwingine ule msemo wa wanawake kutokupendana nauona kama una mashiko.

Ndugu yangu laiti ungekuwa shushushuu nadhan usipata mida wa kupoteza kuwajibu baadhi ya watu.

ivi unajua jr single mom ni wengi zaidi ya ujuavo?

ivi unajua lakin hahaha ngoja niishie hapo tu.

mkuu usisumbuke na neno
 
nimeona kuna ukweli ndani yake mkuu
 
unakutana na kimwanaume legevu hata akikupa mkono unahisi umepewa mkono na mwanamke mwenzio.

Mwanaume unakuwa na ngozi kama ya esha buheti huoni hata aibu kuwa laini laini kiivyo,mwanaume hutaki kuchafuka mda wote umevaa vipensi na vindala vya manyoanyoa na kukaa tu vibarazani pumbavuu
Wanaume kwisha habari yenu[emoji23] [emoji23] [emoji23] nalishangaa toto la kiume jirani hapa limegairisha kwenda kwenye mishe mishe zake eti kwa sababu njia inamatope[emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume Muombeni sana Mungu awaonyeshe njia iliyonyoofu

Kabla hujatoa povu mwangalieni mwenzenu LAVA LAVA alivyo legea kama tembele ndio mbishe niyasemayo

Kubali kukosolewa ili ubadilike
Non sense!
 
Chezea Wanaume wa Dar baadhi yao wanaishi kwa kula Biscuits, Chips Mayai na Soda kwa wingi, hawataki shida kabisa.
 
Imebidi nipitie threads zako na zote zinaponda wanaume tu, kulikoni Dada?
 
unakutana na kimwanaume legevu hata akikupa mkono unahisi umepewa mkono na mwanamke mwenzio.

Mwanaume unakuwa na ngozi kama ya esha buheti huoni hata aibu kuwa laini laini kiivyo,mwanaume hutaki kuchafuka mda wote umevaa vipensi na vindala vya manyoanyoa na kukaa tu vibarazani pumbavuu
Wanaume kwisha habari yenu[emoji23] [emoji23] [emoji23] nalishangaa toto la kiume jirani hapa limegairisha kwenda kwenye mishe mishe zake eti kwa sababu njia inamatope[emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume Muombeni sana Mungu awaonyeshe njia iliyonyoofu

Kabla hujatoa povu mwangalieni mwenzenu LAVA LAVA alivyo legea kama tembele ndio mbishe niyasemayo

Kubali kukosolewa ili ubadilike

Weye unawashwa tu
 
Back
Top Bottom