Wanaume kuwa na ngozi nyororo kama mwanamke

Kumbe kuwa na ngozi laini ni kosa .. Ok inabidi tugalegale sasa kuna wanaume wapo shamba daily lkn ngozi zao hazijakomaa ni mikono tu
 
Na ngozi ya mtu inatokana pia na asili yake toka kazaliwa. Sasa hayo ni masuala ya uumbaji wa Mungu sasa huyu dada anataka kutuletea wenge la mastress zake
 
Si ndo hapo sasa yaan kuna watu kwao unakuta ukoo mzima hawajawahi kupata hata chunusi
 
Back
Top Bottom