Wanaume kuwa na ngozi nyororo kama mwanamke

Wanaume kuwa na ngozi nyororo kama mwanamke

Kama kawaida yako miss "GENERALIZATION"
1. Mimi ni mmoja wa watu wenye ngozi laini unayoisema na toka nimezaliwa iko hivyo labda nianze kumkosoa MUNGU katika uumbaji wake kwamba kwa nini nina ngozi laini badala ya ngumu kama magome ya miti.
2.Siku hizi dunia imeadilika ndugu. Wanawake mnapenda urembo, wanaume nao tunajipenda full utanashati kutumza ngozi ni suala mtambuka kwa kila mmoja wetu.
3.Nature ya kazi.Binadamu tunatofautiana kazi tunazozifanya.Wengine masaa mengi tupo ndani ya ofisi zenye viyoyozi hatupigwi na jua ngozi zetu lazima ziwe katika hali ya ulain sababu hatupati suluba.Hilo pia ni vizuri ukalijua maana huwezi ukategemea wanaume wote wawe kama unavyofikiri wewe.
Kila mtu ameumbwa kwa namna ya kipekee na Mwenyezi Mungu na huwezi ukakosoa wakati mwenyewe Mungu kakuumba kwa namna yako na kasoro zako.
duh....we ni kamwanaume
 
Njoo mimi nikukaze, nimekomaa mikono nikikupiga dole utafikiri umepigwa na msasa!
 
kuku mge
unakutana na kimwanaume legevu hata akikupa mkono unahisi umepewa mkono na mwanamke mwenzio.

Mwanaume unakuwa na ngozi kama ya esha buheti huoni hata aibu kuwa laini laini kiivyo,mwanaume hutaki kuchafuka mda wote umevaa vipensi na vindala vya manyoanyoa na kukaa tu vibarazani pumbavuu
Wanaume kwisha habari yenu[emoji23] [emoji23] [emoji23] nalishangaa toto la kiume jirani hapa limegairisha kwenda kwenye mishe mishe zake eti kwa sababu njia inamatope[emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume Muombeni sana Mungu awaonyeshe njia iliyonyoofu

Kabla hujatoa povu mwangalieni mwenzenu LAVA LAVA alivyo legea kama tembele ndio mbishe niyasemayo

Kubali kukosolewa ili ubadilike
kuku mgeni hakosi .............................................
 
Mkuu hayo ni masimango...kama wewe umekulia kwenye maisha magumu hata mafuta ya kupaka hamna, usidhani ndio uanaume kuwa na ngozi ngumu kama koboko...uanaume ni kuhudumia na kuwa na pochi nene na kujiamini...mambo ya ngozi ni upeo mdogo wa kufikiri.
 
Kwetu Ni Tukuyu Mwakaleli Huko
Mwendo wa kwenda shamba ni kama km 25 kwa miguu
Nimelima kwa zaidi ya miaka 25,
Shule nilikokuwa nasoma ni mwendo kama km 12 kila siku unakwenda shule,
wakati wa mavuno unabeba mahindi kwa umbali kama wa km 9 yafike mahali ambapo gari zinafika(Kumbuka Hapo unapanda njia za milimali wanaoijua geografia ya huko wanaelewa)
Hapo mnakosomba mahindi mnazo kama heka 8-15 hizo heka ni siku mbili tu mnasomba na kubeba katika gari.

Lakini cha ajabu maisha yangu yote ya kijijini hivyo siyajui magamba miguuni
Wala sina mikono iliyokomaa
Niko hivyo toka utotoni,
Labda tu sema ungenyoosha kuwa una mwanaume ambaye ni mlegevu ila ulaini wa ngozi(Ngozi Nyororo) ni kawaida kwa mwanadamu.
Tofautisha mwanaume mlegevu na ngozi Nyororo
 
Back
Top Bottom