mkali kwanza
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,301
- 1,181
Mimi mkuu ngozi yangu lain na ya marehemu mzee wangu ilikuwa lain hivyohivyo sasa huyu mtoa post stress zimemjaa sanaSi ndo hapo sasa yaan kuna watu kwao unakuta ukoo mzima hawajawahi kupata hata chunusi