Wanaume kuwa na ngozi nyororo kama mwanamke

Dah,nimecheka sana hapo kwenye mwanaume ameshidwa kutoka Kisa matope.

Nimefkilia maybe labda tulikuwa wote tunamsema jamaa yangu hivi,kagoma kuja job Kisa kunatope..
 
Kukaa kuchukia wanaume haitokaa ikamsaidia
Hahaaa. Sidhani kama analijua hilo Mkuu.

Pia upande wa pili tusimhukumu kwani huenda ikawa hana anachomaanisha zaidi ya kuwatia hasira nyie Me tu Mkuu.

Yaani mkipanic kwake ndio Burudani.
 
kuna lijamaa jana nimeliona linasuguliwa kucha! nikashangaa kumbe na wanaume nao wanasuguliwa kucha??
 
Kwangu mimi bado nitaendelea kushauri kwamba
1. Kritika ana tatizo kubwa la kisaikolojia lakini mwenyewe anajiona yupo sawa.
2.Anahitaji msaada wa kitabibu.Naweza kumconnect kwa Dismass Lyassa asaidiwe
3.Na kwa nyinyi wadada wenzie msidhanie kumsifia mwenzenu ndo ujiko,mnatakiwa mumsaidie mwenzenu kwa hali na mali na sio kukaa kufurahia kumuona akipotea njia.Anatakiwa asaidiwe.Ndio maana wakati mwingine ule msemo wa wanawake kutokupendana nauona kama una mashiko.
 
Dah,nimecheka sana hapo kwenye mwanaume ameshidwa kutoka Kisa matope.

Nimefkilia maybe labda tulikuwa wote tunamsema jamaa yangu hivi,kagoma kuja job Kisa kunatope..
Hivyo Mkuu kwa mbaali huu uzi una kaukweli?
 
Nipo hapa na ngozi(mwili) wangu laini kabisa naturally.

Nalima kwa masaa 5.

Natembea kwa miguu zaidi ya km 30.

Huo ni mfano mdogo tu na hii ngozi yangu laini na nyororo
Hongera sana
 
Hahaaa. Sidhani kama analijua hilo Mkuu.

Pia upande wa pili tusimhukumu kwani huenda ikawa hana anachomaanisha zaidi ya kuwatia hasira nyie Me tu Mkuu.

Yaani mkipanic kwake ndio Burudani.
Hapa hakuna laiyepanik ila kwa threads zake ukisoma utaona huyu mtu hayupo sawa,yaani wewe kila siku unakereka tu hakuna siku ambayo umefurahi?
 
mie wa ILeje hapa ..ndala kwangu Masendeu! hahaaa
Wanaume wa Dar mnaitwa hukuuuuuuu
 
Hapa hakuna laiyepanik ila kwa threads zake ukisoma utaona huyu mtu hayupo sawa,yaani wewe kila siku unakereka tu hakuna siku ambayo umefurahi?
Hahaaaa. Sisemei hapa Mkuu nasemea kwenye nyuzi zake karibia zote mfano hai ni ule uzi wake wa wanaume kukimbilia lift kama unakumbuka alichambwa sana na wanaume wa humu.

Ila mpeni muda Mkuu huenda akaja na nyuzi zitakazowasuuza huko mbeleni.
 
Hivyo Mkuu kwa mbaali huu uzi una kaukweli?
Kwa mbali,ila hiyo mikono kuwa milaini hiyo si kitu,au sijui uvaaji wa pensi hayo mambo ya kawaida...

So you guys mnapenda mwanaume ambaye anamikono mikavu migumu,haijapakwa mafuta??
 
Hahaaa. Inategemea Ntu na Ntu Mkuu.

Mie siko hivyo mkono wowote tu kwangu ni sawa cha muhimu awe mwanaume aliyekamilika tu.
 
Hahaaaa. Sisemei hapa Mkuu nasemea kwenye nyuzi zake karibia zote mfano hai ni ule uzi wake wa wanaume kukimbilia lift kama unakumbuka alichambwa sana na wanaume wa humu.

Ila mpeni muda Mkuu huenda akaja na nyuzi zitakazowasuuza huko mbeleni.
Huyu ana tatizo kubwa na anahitaji msaada,mnapomsifia wasichana hamumsaidii kitu
 
Hahaaa. Inategemea Ntu na Ntu Mkuu.

Mie siko hivyo mkono wowote tu kwangu ni sawa cha muhimu awe mwanaume aliyekamilika tu.
Kabisa mkuu,ukisema uangalie hayo sijui ya ulaini sio,mwingine maisha yake kwa ujumla unakuta yuko hivyo.

Au uanaume halisi hauwi kwa kuwa na sura au ngozi ngumu,yani mtu niogope kukushika hajar nisijekukumiza??[emoji2] [emoji2]
 
Hahahaaaa. Kweli kabisa usemalo.
 
My picture.jpg

Najivunia ngozi yangu niliyopewa na Mwenyezi Mungu maana yeye ndio aliyeniumba na ndie anayeyajua mapungufu yangu.Hakuna binadamu mwenye jeuri ya kunikosoa maana wote tumeumbwa na Mungu.
 
Back
Top Bottom