kijavaradunia
Member
- Feb 15, 2024
- 20
- 17
NIFUNDISH ZURU SNA ILA INASIKITISH SNA MAKOSA YAPO ILI WENGINE WAJIFUNZ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni sahihi kabisa, kuna wanawake waliogundua udhaifu huo wa jamii and they take advantage.Siyo ubinafsi bali ni kwa sababu jamii ilishaaminishwa kwamba mwanaume ni kiumbe strong hawezi kuzidiwa akili wala nguvu na mwanamke ambaye yeye ni kiumbe dhaifu, jamii ilishaaminishwa kwamba katika mgogoro wowote ule baina ya mwanaume na mwanamke siku zote mwanamke ndiye anayepoteza mwanaume yeye hana cha kupoteza hivyo mwanamke hatakiwi kushindana na mwanaume maana yeye ndiye atakuwa victim, sasa kutokana na hiyo imani iliyojengeka inakuwa ngumu kuamini kwamba eti wanaume nao wanadhuriwa na wanawake ndio maana wanaume wanapolalamika jamii inawapuuza kwa kudhani kwamba hayo malalamiko ni batili na hayana uhalisia
Hapana, auto correct ndio imefanya hivyo, bahati mbaya sikuhakiki.Prakatatumba abaabaabaa nimeshangaa kumbe ww ni mdada?
Tukio limethibitishwa hospitali kuwa limetokea, haina haja ya kutokuamini, mbona hamkemei?Siyo ubinafsi bali ni kwa sababu jamii ilishaaminishwa kwamba mwanaume ni kiumbe strong hawezi kuzidiwa akili wala nguvu na mwanamke ambaye yeye ni kiumbe dhaifu, jamii ilishaaminishwa kwamba katika mgogoro wowote ule baina ya mwanaume na mwanamke siku zote mwanamke ndiye anayepoteza mwanaume yeye hana cha kupoteza hivyo mwanamke hatakiwi kushindana na mwanaume maana yeye ndiye atakuwa victim, sasa kutokana na hiyo imani iliyojengeka inakuwa ngumu kuamini kwamba eti wanaume nao wanadhuriwa na wanawake ndio maana wanaume wanapolalamika jamii inawapuuza kwa kudhani kwamba hayo malalamiko ni batili na hayana uhalisia
Hapana, mimi sikubaliani na hii hoja. Hapo kuna factors nyingi sana, mifumo kubadilika, utandawazi, mmomonyoko wa maadili, ujinga, na mengineyo. Wanawake wa zamani hawakuwa ignorant kiasi hiki. Haya unafikiri kwanini huyo demu alimtafuta jamaa wa zamani na kumdharau mwanaume aliye msomesha? Hilo hali relate hata kidogo na uchumi, hilo ni kwamba mwanamke kamtumia jamaa, kama ngazi kurudiana na mchumba wake. Chanzo kikuu cha haya yote ni mifumo hasi uliyopata nguvu kadri miaka inavyozidi kwenda things are going to be more worseTaratibu mnaanza kuukubali uhalisia, kwamba mwanamke anamtii mwanaume endapo tu hana elimu wala ajira, tukiwaambia hali halisi iliyopo mnajidai mna mihemko na kuanza kututukana
Watu msicho jua ni kwamba mtu anaweza akawa sio msomi ila kaishi na wasomi hivyo wamemuambukuza ujingaNitoe tahadhari, hata hao wasio na elimu kubwa the same wana matatizo kama huyu binti msomi, wakipata mwenye pesa kukuzidi hakuna rangi utaacha kuona. Oeni wacha Mungu, hawa wanajua thamani ya ndoa hata kama ni wasomi wakubwa na wana pesa hawaharibu ndoa zao. Ndoa kwao ni sehemu ya ibada na ni maadili mema katika jamii. Kuoa kibishibishi kwa tamaa ya kuoa pisi kali au mbaya bila ku predict tabia zake mficho hatari kwa ndoa huja kuleta majuto baadae na ndoa kusambaratika
Daah inasikitisha sana.Ila wansemaga Dam ya mtu ni kama nzito or inaweza kukulilia ila sijui kama ni kweli but yule Binti mwaka 2022 Tabora huko, alipataga ajali mbaya sana Gari aliyokuwa anaendesha ikagongana na lori miguu yote ikabanwa mean ikasagika akakatwa miguu yote kwa sasa ni mlemavu kabisa hana miguu.
Mimi nashangaa sana
Mtu unaoaje strenger?
Wazazi wako walikuwa pamoja mtaani, wanawake wa mtaani wanaokutongoza wote hua wanakukubalia, hata wakikukubalia hua unaoa tu hata kama hana sifa za kumuoa just kwasababu muko mtaani.Inamaana kwenye kukua kwako hakuna wasichana mliokuwa nao mtaani wazuri tu
Unakuwa na akili ya ku target wife material Secondary yaani ukiwa na miaka 14....WHAT THINKING ABILITY IS THIS.Au ulipoenda secondary hukuwa na target za wife material kichwani
Hata chuo miaka minne unaweza ukalenga mke anayejitambua tu
Vipi baada ya kujatika miguu Ana mpenzi wa kumliwazaAlikuja tena uso mweupe ila kwa sasa ni mlemavu hana miguu miwili yalimkuta makubwa Dam ya mtu nzito sana
Basi ifike pahala muiambie jamii kwamba na ninyi ni weak, na mnaweza kuwa victims kama wanawake tu, hamko strong kama mnavyoiaminisha jamii ili ijulikane mojaTukio limethibitishwa hospitali kuwa limetokea, haina haja ya kutokuamini, mbona hamkemei?
Mimi sikusoma mada hivyo nilijibu kulingana na comment ambayo huyo jamaa aliniquote, hayo mambo ya kutumiana yapo kwa jinsia zote mbili wala msiwalaumu wanawake tu, tena wanaume ndio mnaona fahari kabisa kuwatumia wanawake kwa madai kwamba wao ndio wanaoumia ninyi jinsia na maumbile yenu vinawabebaHapana, mimi sikubaliani na hii hoja. Hapo kuna factors nyingi sana, mifumo kubadilika, utandawazi, mmomonyoko wa maadili, ujinga, na mengineyo. Wanawake wa zamani hawakuwa ignorant kiasi hiki. Haya unafikiri kwanini huyo demu alimtafuta jamaa wa zamani na kumdharau mwanaume aliye msomesha? Hilo hali relate hata kidogo na uchumi, hilo ni kwamba mwanamke kamtumia jamaa, kama ngazi kurudiana na mchumba wake. Chanzo kikuu cha haya yote ni mifumo hasi uliyopata nguvu kadri miaka inavyozidi kwenda things are going to be more worse
Naunga mkono hoja yako mkuuKijana unaetaka kuoa tafuta binti darasa la saba sogea sogea mpaka form four or six weka ndani kula maisha.
Usicheze na hao wacheza porn vyuoni kwa kigezo cha kusaidiana maisha siku akipata kazi,na kiuhalisia hiyo ni sababu ndogo sana ya kukufanya uje kujuta cuz hakuna kusaidiana maisha kati ya mwanamke na mwanaume dunia hii hilo mnadanganywa na ma-feminaa
We jamaa acha uoga,chukua chuma hicho weka ndani ule mema ya nchi😂Ni kweli kabisa, mimi kuna mwanamke kanizidi miezi 7, kamaliza chuo anajitafuta na shughuli za hapa na pale, tupo wapenzi nashangaa ananisalimia, namuona kama tapeli tu, kwasababu hapo akipata kazi lazima aende kazini kwake, na najua hakuna ndoa ya mbali.