Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Na waongezeke tu if that is what it takes for them to be safe from mens harassmentUpo sahihi sana, ila usahihi wako utaendelea kuongeza single mothers wengi mitaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na waongezeke tu if that is what it takes for them to be safe from mens harassmentUpo sahihi sana, ila usahihi wako utaendelea kuongeza single mothers wengi mitaani
Sijaona majibu kamili, bali kujificha kwenye hoja ambayo haina msingi.Hili nafikiri nimeshakujibu kule siwezi kuandika jambo lile lile kila mara
Instead of kutoa majibu unaanza kufurahi on stupid stuff! Hujui kuwa hata wanaume pia wapo on competition wenyewe so wanawatumia nyie kama silaha kuamngamiza wenzao? Nyie ndo hamjitambui mnakaa kutumika tu endlessly. Sio coincidence shetani alimtumia hawa kula tunda. Unapaswa kuwa aware sio ku argue bila kuangalia vitu kwa ukubwa.Aiseee mnasikitisha sana sasa hiyo mifumo inayowabeba wanawake inaendeshwa na kina nani na kwa faida ya nani, na kwanini wanaume wanaruhusu wanawake wabebwe ilihali wao ndio watawala na wana uwezo na nguvu kuliko wanawake, huwa nashindwa kuelewa inakuwaje mnalalamikia matatizo ambayo mmeyaruhusu wenyewe (maana wanawake ni dhaifu) sasa mnamlalamikia nani ayarekebishe mbona mnafurahisha
Unaongea vitu gani wewe mbona sikuelewi? Inamaana mwanaume akifanya kosa mfano kachepuka , mke wake akamvizia usingizini akamchoma kisu, mume akafa, hiyo hamkemei kuwa ni ukatili, mawewe nae unatetea? Lakini ingekuwa mwanamke kapigwa kibao tu, kelele mitandaoni nchi nzima kuwa ni unyanyasaji.Na unadhani ni kwanini mwanamke akudhuru kwa kukuvizia yani mnachoshindwa kuelewa (au pengine mnaelewa ila hamtaki kukubali) ni kwamba haya wanayofanya wanawake sasa hivi waliyapandikiza wanaume wa zamani waliokuwa na mfumo dume wa kipuuzi, haya ni matokeo ya kuwakandamiza na kuwanyima sauti na uhuru wanawake kwa muda mrefu na matokeo yake walipoanza kutetewa na kupata upenyo wakatake advantage ya hilo, tatizo lenu ninyi hili jambo mnaliangalia juu juu tu hamtaki kujua mzizi wake mnadhani eti linaanzia hapa au liliibuka tu out of nowhere na mkiambiwa ukweli mnakimbilia kuita watu mafeminist
So you are basically telling us we are in revenge times kwa huo mnaoita mfumo dume???Na unadhani ni kwanini mwanamke akudhuru kwa kukuvizia yani mnachoshindwa kuelewa (au pengine mnaelewa ila hamtaki kukubali) ni kwamba haya wanayofanya wanawake sasa hivi waliyapandikiza wanaume wa zamani waliokuwa na mfumo dume wa kipuuzi, haya ni matokeo ya kuwakandamiza na kuwanyima sauti na uhuru wanawake kwa muda mrefu na matokeo yake walipoanza kutetewa na kupata upenyo wakatake advantage ya hilo, tatizo lenu ninyi hili jambo mnaliangalia juu juu tu hamtaki kujua mzizi wake mnadhani eti linaanzia hapa au liliibuka tu out of nowhere na mkiambiwa ukweli mnakimbilia kuita watu mafeminist
Kataa ndoa kataa utapeliKitu ambacho wanaume wengi hamkijui ni Tabia za mwanamke ambae Anajitafuta au ana hali ngumu kimaisha huwa ni kama simba jike mwenye njaa kali so chochote kitakachotokea mbele yake kama kimenona anapita nacho, Maisha ya Binti alietoka Chuoni hana kazi wala Pesa huwa ni kama Wife Material full adabu na utii
Ndio hawa wanawake wa vyuoni au waliomaliza na ajira hawana, simaanishi kuwa hawana haki ya kupata wenza ila uwe makini sana kuwasoma kabla ya kuwaowa, Hao wakishaolewa huwa wanaendelea kuhaso kutafuta ajira sasa usiombee atume maombi alafu ukute upo nae Dar alafu uskie kapangiwa kituo cha kazi Dodoma huko or Mwanza au apate kazi ya maana ukiwa nae hapo ndio utaanza kujua tabia zake halisi
Mwaka 2017 nilimpotezaga kaka yangu, alikipenda kibinti kikiwa mwaka wa pili chuoni akawa anakihudumia,hadi kinamaliza Chuo akakiowa bwana ila kwenye uchumba tu ugomvi ulikuwa hauishi maana kulikuwa na Tetesi yule binti alikuwa na mpenzi wake wa zamani kwa siri ila kilichompeleka pale kwa Bro ni pesa
Kaka akaowa kibishi, Ndoa iko Mwaka wa kwanza tu, Binti akala shavu Kigoma huko shirika linalodeal na wakimbizi pesa nje nje, Ndoa ndio ilipoanza kuwa ndoano hapo maana ilikuwa ni Marufuku kaka kumfuata yule Binti kigoma hadi arudi yeye Dar hao ni wanandoa yani
Za chini chini wambea wakamtonya Kaka kuwa yuke Binti huwa anamsafirisha yule Mwanaume wake wazamani hadi kigoma anafikia kwake mara kwa mara na anamrudisha Dar tena kwa Ndege, Na ndio maana Binti hakutaka kaka Awe anaenda kigoma
Kaka mwaka 2016 mwishoni akanywa sumu ila aliponyea kufa yote ni kama alipata sonona ,akawa hana mtu wa kumwambia, Baada ya lile tukio ndio akaipa Familia ukweli sasa, familia ikaweka kikao yule Binti akaitwa ila akasema yupo Bize Kigoma huko yote jeuri ya pesa na pumzi
Ikabidi sisi kama familia sasa tuongeze ukaribu uliopitiliza, ili ile hali iondoke tukawa tunakaa kwake kwa zamu yote kumpa kampani maana tulishaona Dalili mbaya na ndio tulikuwa tunamtegemea yani wadogo zake ametusomesha na kutupigania sana, Wifi tukawa tukimpigia simu hata kupokea hapokei
Mwaka 2017 mwezi wa Sita akaanza kuugua vitu visivyoeleweka mara Presha mara anadondoka kazini, Alipopelekwa Hospitali kwa uchunguzi ikaonekana Mishipa yake ya moyo imeanza kutanuka tukaambiwa anatakiwa arelax na aache kuwa mtu wa Mawazo , ila kila tukijaribu ikawa mtihani, 2017 mwishoni akafariki alidondoka tu bafuni kumkimbiza Hospitali tayari akawa ameshaondoka hili pigo siwezi kulisahau
Baada ya hili tukio kutokea Baba nae hadi leo hajawahi kuwa sawa kabisa, ila aliwaita watoto wake wote wa kiume kitu nachokumbuka alisema oweni wanawake wenye elimu za kawaida msije kusumbuana huko mbele, na akasema tumewasomesha kwa garama kubwa na sasa mna kazi zenu yeyote atakaeleta tena Mwanamke hapa kama ana Elimu ya juu basi huyo Mwanamke naye ni Sharti awe na pesa na kazi kabla hamjafahamiana yaani kiwaunganishe upendo sio Pesa mlizokuwa nazo
Akasema kuwa ukiniletea hapa Mwanamke Mwenye elimu ya juu na hana kazi wala pesa basi mkatafute baba mwjngine ampokee huyo mwanamke kama mnae la sivyo aishie huko huko, yaani Baba ni kama alivurugwa na ile hali
Ila wansemaga Dam ya mtu ni kama nzito or inaweza kukulilia ila sijui kama ni kweli but yule Binti mwaka 2022 Tabora huko, alipataga ajali mbaya sana Gari aliyokuwa anaendesha ikagongana na lori miguu yote ikabanwa mean ikasagika akakatwa miguu yote kwa sasa ni mlemavu kabisa hana miguu.
Hata wa Form 6 ni marufuku!!!Kijana unaetaka kuoa tafuta binti darasa la saba sogea sogea mpaka form four or six weka ndani kula maisha.
Usicheze na hao wacheza porn vyuoni kwa kigezo cha kusaidiana maisha siku akipata kazi,na kiuhalisia hiyo ni sababu ndogo sana ya kukufanya uje kujuta cuz hakuna kusaidiana maisha kati ya mwanamke na mwanaume dunia hii hilo mnadanganywa na ma-feminaa