Wanaume kuweni makini sana kuoa wanawake waliotoka Vyuoni

Ila kaka ako nae mzembe sana aisee, Mm ht uwe na K ya dhahabu siwezi kujidhuru kisa mwanamke
Ni vizuri na busara sana kuwa na akiba ya maneno. Usiwaone hao wanaochukua hayo maamuzi kuwa ni wajinga! Bado tu hujabananishwa!

Unaingia mzima mzima unajitoa unahudumia, unasomesha mpaka wewe unajisahau halafu mkeo anakuja kuanza kukudharau na kuchezewa na majamaa waziwazi. Kama huna kifua au support system nzuri linaweza kutokea la kutokea.

Hayanaga mwongozo!

Hayanaga baunsa!
 
Mimi nashangaa sana

Mtu unaoaje strenger?

Inamaana kwenye kukua kwako hakuna wasichana mliokuwa nao mtaani wazuri tu

Au ulipoenda secondary hukuwa na target za wife material kichwani

Hata chuo miaka minne unaweza ukalenga mke anayejitambua tu
Jinsi unavyoshangaa wewe na Mimi nadhangaaga hivyo hivyo
Kama msichana humjui wewe hakikisha ndugu zako wanamjua ndo uoe
 
The same, same scenario kuna jamaa huku alikuwa darasa la saba ila alikuwa na ujanja ujanja wa kutafuta pesa akamdaka mdada msomi ambaye hana kazi kipindi hicho,huyo dada akaja kupata kazi bank fulani...kilichomkuta jamaa mwanamke na mama mkwe walikuwa wanampiga jamaa ngeu mara kwa mara ya kushonwa hosp...mwisho wakalazimisha kuvunja ndoa mahakama...jamaa alianguka bafuni ..habari yake ikaishia hapo
 
Kweli
 
Inaumiza sana kupata taarifa za vifo vya wanaume vilivyosababishwa na wanawake.
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…