Wanaume kuweni wa kweli basi dah!

Yaani ulikuwa ndio umeshaliwa hivyo sema2 mzee kitambi alibugi
 
Mimi huwa napenda wanaume wa ukweli kuliko wale wa longo longo
 
Maranyingi mwongo hufanikiwa kuliko mkweli. Uongo wa mwanaume kwa mwanamke ni sehemu ya maisha ya mwanaume.
 
Angekuja really ungemkubalia?
Ndio.tema swaga hadi nikubali mbona kawaida tu.maneno ya mwanaume huwa ni mazito kwa mwanamke..lakini yawe na ushawishi na vitendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…