Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh!swahiba kuna wengine wengi tu ashawapata kwa uongo kama huo,mkuu alieanzisha huu uzi ana bahati sana,vinginevyo nae saa hz angekua kishaliwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila baadae huyo jamaa atajiona boya sana.
Na ulozi pia,maana siamini ulivyobadilishwa akili kutoka ngujike mali ya ngudume mpk kuwa mali halali ya babu yule!Mapenzi bila uongo hupati kitu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Na kweli aisee.Teh!swahiba kuna wengine wengi tu ashawapata kwa uongo kama huo,mkuu alieanzisha huu uzi ana bahati sana,vinginevyo nae saa hz angekua kishaliwa
😀😀😀Ndio maana uliniingiza mjini.
Inauma sanaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi huwa napenda wanaume wa ukweli kuliko wale wa longo longoHahahaha
Nimecheka sana
Ahsante kwa story
Tofauti
Mimi nikimtongoza dada sijisifii na akiniuliza unafanya kazi huwa nadanganya namweleza kazi tofauti mfano deleva wa guta ili hali nimeajiriwa Kampuni flani... maisha ninayoishi magumu n.k so huwa wanakata tamaa.
tatizo moja tu ambalo Mimi ninalo na huwa hawanikubalii ni aibu
Angekuja really ungemkubalia?Uongo mbaya sana..kama nilikuwa na mpango wa kukupenda halafu nikagundua nakuacha
Na ukute ana jamaa yke ila lift ikataka kuleta shari bc tu uzuzu wa jamaa kazi ilishaisha![emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
sana yaani,ila baiskeli ninayoKweli eeh!