Wanaume kuweni wa kweli basi dah!

Wanaume kuweni wa kweli basi dah!

Ndio.tema swaga hadi nikubali mbona kawaida tu.maneno ya mwanaume huwa ni mazito kwa mwanamke..lakini yawe na ushawishi na vitendo
Unakubali km hpo ulipo haupo single ila milango bdo iko wazi endapo hyo jamaa angefanya km unavyoelekeza hp?
 
hy paragraph ya 7 haijaniingia akilin, au stor umetunga na umeshndwa kupanglia uhongo
 
Back
Top Bottom