Wanaume kwenda kwenye shughuli zao na vinjunga (bukta fupi) haipendezi

Wanaume kwenda kwenye shughuli zao na vinjunga (bukta fupi) haipendezi

Melancholic

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
3,076
Reaction score
5,483
Mwanaume ni sifa, mwanaume ni kiongozi ebu ifike hatua wanaume tujitambue na tutambue nafasi zetu katika jamii.

Hii tabia ya wanaume kuvaa vinjunga inaniboa sana, yaani sasa hivi kuvaa vinjunga kwa Dar inakuwa fasheni et kama leo asubuhi nimeshangaa sana mtu tumeshinda nae street asubuhi akatuaga kuwa anataka kwenda town tukasema fresh jamaa karudi home baadae kapita kavaa kinjunga kifupi na raba kwamba huo ndio mtoko sasa wa kwenda town wakati asubuh alikuwa kavaa suruali fresh tu.

Aisee ujue ni ujinga sana hivi mwanaume unaanzaje kuvaa vibukta vifupi tena vyepesi unaenda navyo mjini wengine wanapanda navyo mpaka daladala unamuonyesha nani mapaja yako na unataka nini huu ni upumbavu hizi fasheni nyingine hazifai.
 
Mwanaume ni sifa
Mwanaume ni kiongozi ebu ifike hatua wanaume tujitambue na tutambue nafasi zetu katika jamii.

Hii tabia ya wanaume kuvaa vinjunga inaniboa kishenzi yani saiz kuvaa vinjunga kwa dar inakuwa fasheni et kama leo asubuh nimeshangaa sana mtu tumeshinda nae street asubuh akatuaga kuwa anataka kwenda town tukasema fresh jamaa karudi home baadae kapita kavaa kinjunga kifupi na raba kwamba huo ndio mtoko sasa wa kwenda town wakati asubuh alikuwa kavaa suruali fresh tu.

Aisee ujue ni ujinga sana hivi mwanaume unaanzaje kuvaa vibukta vifupi tena vyepesi unaenda navyo mjini wengine wanapanda navyo mpaka daladala unamuonyesha nani mapaja yako na unataka nini huu ni upumbavu hizi fasheni nyingine ni za kichoko sana.
Afya ya Akili mkuu!Walete Mirembee,Dodoma.
 
Mwanaume ni sifa, mwanaume ni kiongozi ebu ifike hatua wanaume tujitambue na tutambue nafasi zetu katika jamii.

Hii tabia ya wanaume kuvaa vinjunga inaniboa sana, yaani sasa hivi kuvaa vinjunga kwa Dar inakuwa fasheni et kama leo asubuhi nimeshangaa sana mtu tumeshinda nae street asubuhi akatuaga kuwa anataka kwenda town tukasema fresh jamaa karudi home baadae kapita kavaa kinjunga kifupi na raba kwamba huo ndio mtoko sasa wa kwenda town wakati asubuh alikuwa kavaa suruali fresh tu.

Aisee ujue ni ujinga sana hivi mwanaume unaanzaje kuvaa vibukta vifupi tena vyepesi unaenda navyo mjini wengine wanapanda navyo mpaka daladala unamuonyesha nani mapaja yako na unataka nini huu ni upumbavu hizi fasheni nyingine hazifai.
Vibukta vifupi, anaonesha jinsi gymn kulivyo kuzuri kwa kutengeza shepu[emoji32][emoji27][emoji24]
 
Siku hizi wengi ni MARIAM BIRIANI, dunia ishabaki na bikini hii, usishangae kaka, lea wanao vema.
Kweli bora enzi za pekosi,kuliko upuuzi huu!kiukweli mimi nikimuona mtu wa dizaini hii hata awe na hoja za maana haziniingia kichwani mwangu!Maana namuona kama vile anafaili Mirembe bado mwezi mchanga atachachamaa mbeleni!
 
Ule ni ungeserema grade a.
bora uvae vile uwe kimbaumbau au una paja la mazoezi limekatika. Sio una manyama ya kindezi unavaa vile..ni ukocho
 
Back
Top Bottom