Wanaume kwenda kwenye shughuli zao na vinjunga (bukta fupi) haipendezi

Wanaume kwenda kwenye shughuli zao na vinjunga (bukta fupi) haipendezi

Wengine naona wanavivaaga liquor store ya mtaani, je ni makosa na yenyewe kuacha vinyweleo vya mguuni navyo vipunge upepo 😀😀😀😀
 
Wengine naona wanavivaaga liquor store ya mtaani, je ni makosa na yenyewe kuacha vinyweleo vya mguuni navyo vipunge upepo 😀😀😀😀
kuvaa mtaani mimi naona poa tu ila sio unazunguka navyo mjini

sio vifupi vya kubana lakini
 
Kwa weusi (haipendezi) ila miaka mingi apo nyuma niliona kwa vijana wa kizungu niliona wanapendeza (sikuwazia ushenzi),ni kinjunga alafu mlege m niliwatamanimo 😂😂😂.
 
Juzi kuna mmoja nilimkanyaga nikiwa sijui kama nimemkanyaga.wakati wa kushuka nikashangaa mbona watu hawashuki au kuna kibaka anayengeneza jam ili aibe kumbe nimekanyaga ndala yake ya kibishoo nae kavaa penzi mtelezo.
 
Achana na sisi kabisa..Kinjunga ni hobby ya mtu...Me navaa hadi Kwenye interview za kazi😄
 
Back
Top Bottom