Wanaume kwenda kwenye shughuli zao na vinjunga (bukta fupi) haipendezi

Wengine naona wanavivaaga liquor store ya mtaani, je ni makosa na yenyewe kuacha vinyweleo vya mguuni navyo vipunge upepo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wengine naona wanavivaaga liquor store ya mtaani, je ni makosa na yenyewe kuacha vinyweleo vya mguuni navyo vipunge upepo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
kuvaa mtaani mimi naona poa tu ila sio unazunguka navyo mjini

sio vifupi vya kubana lakini
 
Kwa weusi (haipendezi) ila miaka mingi apo nyuma niliona kwa vijana wa kizungu niliona wanapendeza (sikuwazia ushenzi),ni kinjunga alafu mlege m niliwatamanimo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Juzi kuna mmoja nilimkanyaga nikiwa sijui kama nimemkanyaga.wakati wa kushuka nikashangaa mbona watu hawashuki au kuna kibaka anayengeneza jam ili aibe kumbe nimekanyaga ndala yake ya kibishoo nae kavaa penzi mtelezo.
 
Achana na sisi kabisa..Kinjunga ni hobby ya mtu...Me navaa hadi Kwenye interview za kaziπŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…