Right Flower
Senior Member
- Jul 9, 2026
- 157
- 292
Mi mke wangu ni wangu peke yangu. Matatizo yako baki nayo mwenyeweHuyo mwanamke unaemuamini sana, unampenda sana na anakupenda sana huyo huyo lazima anae mchepuko wake. (Ukibisha haibadili ukweli)
Huyo huyo ambae haujawahi kumkuta hata na chembe ya ushahidi nakwambia wazi anae mchepuko au alishakua nae au hata kua nao. (Ukibisha ni sawa maana hauwezi kupata ushahidi wowote)
Wanamake wako makini sana sana katika kuficha michepuko nadhani ni kutokana na asili kwamba uzinifu ni kosa kubwa sana akifanya mke wa mtu ndio maana pia wanamake hua wako makini sana sana.
Mbinu za wanawake ni nyingi na zinatofautiana kulingana na mazingira. Wanawake tuna fantacy nyingi na moja wapo ni kumcheat mume na asijue.
Ngoja nikwambie sisi wanamake ni mabingwa wa maigizo na siku inachapwa na mwanaume mwingine katu huwezi kujua wala kuhisi. Na hiyo inamuongezea raha mwanamke.
Mimi mwenyewe hapa ukimwambia Mr wangu kuwa nilishamcheat atakukatalia kata kata hata jua lishuke ardhini lakini ukweli nishamcheat mara 3 yes mara tatu na hakujua na hata kuja kujua.
Nimekua naona humu wanaume mnavyojishaua mkidhani nyie pekee ndio mna cheat, aise sisi pia tuna cheat tena zaidi yenu LAKINI TOFAUTI NI HATUBWABWAJI KAMA NYIE.
Kama unanibishia mfuatilie mkeo anza taratibu na usijidanganye kwa kufuatilia simu yake tu. (Kama huna roho ngumu tulia mlee watoto lakizi ukijua K yake hua inachapwa).
Fuatilia mienendo yake hata kitu kidogo weka mashaka akienda kusuka kua na kamashaka, akienda kwa rafiki au ndugu weka mashaka kidogo fuatilia akienda kulipia kingamuzi kwa wakala weka mashaka fuatilia kimya kimya kweli alienda hapo tu.
Simu yake ina hitilafu anataka aipeleke kwa fundi weka masha ichukue tazama hiyo hitilafu asikuletee ujinga.
Je kuna simu ilipigwa wrong namba weka mashaka, kuna kitu aliletewa na rafiki yake anataka kukirudisha weka mashaka, anaumwa kaenda hospitali weka mashaka, kuna rafiki yake amechukizana nae na kufokeana kwenye simu anataka "akamchambe" weka mashaka.
Kuna mwammaume eti anamsumbua na amekwambia weka mashaka huyo ni mchepuko wake wamezinguana ila mwanaume kinganganizi,
Alienda sehemu na akatumia muda mwingi sana na aliporudi amekwambia alidondosha nauli ya boda kwa hiyo akatembea kwa miguu weka mashaka unachezewa michezo.
Saloon umeme ulikatika hivyo akachelewa kutengeneza nywele weka mashaka, anakupa simu uangalie kitu labda kichekesho fulani alafu anakuacha nayo weka mashaka hapo anakuset umwamini yeye ni msafi ila tayari mipango yake ashaiweka sawa.
Wale wa kishua sasa, Netflix yake inasumbua anataka akatazame kitu kwenye simu ya rafiki yake weka mashaka, alinunua kitu ila delivery hajafika labda kapotea ngoja amfuatilie mkuu weka mashaka,
Amesahau kitu kazini ngoja arudi akatitafute haaa ha weka mashaka, alikwenda kwenye vikao na badae simu ilizima charge weka mashaka,
Gari yake imeharibika amekupigia anaweza kuchelewa mwambie akupe location umemrequestia bolt inayokewea na fundi kurekebisha, na bolt ikifika apande impeleke nyumbani gari italetwa na fundi.
safi bora wewe unajua ukweli kua inachapwa nilikua nawalenga wanaume wanaoamini eti wake zao hawana michepuko.Yaani nianze kuweka mashaka ili nipunguze siku zangu za kuishi kizembe wakati mtu kaamua kwa akili yake nyau yake iwe ya jumuiya?
Tunajua mnachapika hata kama mnaamini tunawaamini ingawa kiuhalisia tunaishi kwa Machale.
Wewe unajua ukweli kua inachapwa nilikua nawalenga wanaume wanaoamini eti wake zao hawana michepuko.Hivi hivyo vyote vya nini? Si anaiosha hiyo K mwenyewe na atampa anayependa kumpa. Shida zote za nini?
Sio Kama wapo makini ni vile wanaume tuna mambo mengi ya kufatilia yanayopelekea kupuuza ufatiliaji kwa mwanamkeWanamake wako makini sana sana katika kuficha michepuko nadhani ni kutokana na asili
Sasa unataka kujifananisha na mwanaume yaani ukomoane ama uweke ligi na mwanaume?Nimekua naona humu wanaume mnavyojishaua mkidhani nyie pekee ndio mna cheat, aise sisi pia tuna cheat tena zaidi yenu LAKINI TOFAUTI NI HATUBWABWAJI KAMA NYIE.
Mwisho wa umalaya wa sirini huwa ni aibu. Kuna siku tu ya gizani huwa yanajulikana.Huyo mwanamke unaemuamini sana, unampenda sana na anakupenda sana huyo huyo lazima anae mchepuko wake. (Ukibisha haibadili ukweli)
Huyo huyo ambae haujawahi kumkuta hata na chembe ya ushahidi nakwambia wazi anae mchepuko au alishakua nae au hata kua nao. (Ukibisha ni sawa maana hauwezi kupata ushahidi wowote)
Wanamake wako makini sana sana katika kuficha michepuko nadhani ni kutokana na asili kwamba uzinifu ni kosa kubwa sana akifanya mke wa mtu ndio maana pia wanamake hua wako makini sana sana.
Mbinu za wanawake ni nyingi na zinatofautiana kulingana na mazingira. Wanawake tuna fantacy nyingi na moja wapo ni kumcheat mume na asijue.
Ngoja nikwambie sisi wanamake ni mabingwa wa maigizo na siku inachapwa na mwanaume mwingine katu huwezi kujua wala kuhisi. Na hiyo inamuongezea raha mwanamke.
Mimi mwenyewe hapa ukimwambia Mr wangu kuwa nilishamcheat atakukatalia kata kata hata jua lishuke ardhini lakini ukweli nishamcheat mara 3 yes mara tatu na hakujua na hata kuja kujua.
Nimekua naona humu wanaume mnavyojishaua mkidhani nyie pekee ndio mna cheat, aise sisi pia tuna cheat tena zaidi yenu LAKINI TOFAUTI NI HATUBWABWAJI KAMA NYIE.
Kama unanibishia mfuatilie mkeo anza taratibu na usijidanganye kwa kufuatilia simu yake tu. (Kama huna roho ngumu tulia mlee watoto lakizi ukijua K yake hua inachapwa).
Fuatilia mienendo yake hata kitu kidogo weka mashaka akienda kusuka kua na kamashaka, akienda kwa rafiki au ndugu weka mashaka kidogo fuatilia akienda kulipia kingamuzi kwa wakala weka mashaka fuatilia kimya kimya kweli alienda hapo tu.
Simu yake ina hitilafu anataka aipeleke kwa fundi weka masha ichukue tazama hiyo hitilafu asikuletee ujinga.
Je kuna simu ilipigwa wrong namba weka mashaka, kuna kitu aliletewa na rafiki yake anataka kukirudisha weka mashaka, anaumwa kaenda hospitali weka mashaka, kuna rafiki yake amechukizana nae na kufokeana kwenye simu anataka "akamchambe" weka mashaka.
Kuna mwammaume eti anamsumbua na amekwambia weka mashaka huyo ni mchepuko wake wamezinguana ila mwanaume kinganganizi,
Alienda sehemu na akatumia muda mwingi sana na aliporudi amekwambia alidondosha nauli ya boda kwa hiyo akatembea kwa miguu weka mashaka unachezewa michezo.
Saloon umeme ulikatika hivyo akachelewa kutengeneza nywele weka mashaka, anakupa simu uangalie kitu labda kichekesho fulani alafu anakuacha nayo weka mashaka hapo anakuset umwamini yeye ni msafi ila tayari mipango yake ashaiweka sawa.
Wale wa kishua sasa, Netflix yake inasumbua anataka akatazame kitu kwenye simu ya rafiki yake weka mashaka, alinunua kitu ila delivery hajafika labda kapotea ngoja amfuatilie mkuu weka mashaka,
Amesahau kitu kazini ngoja arudi akatitafute haaa ha weka mashaka, alikwenda kwenye vikao na badae simu ilizima charge weka mashaka,
Gari yake imeharibika amekupigia anaweza kuchelewa mwambie akupe location umemrequestia bolt inayokewea na fundi kurekebisha, na bolt ikifika apande impeleke nyumbani gari italetwa na fundi.
hakuna anaeshindanda ila tunaishi maisha yetu, agenda ni wanaume mnadhani wanawake hawatamani wanaume wengine TUNATAMANI SANA NA TUNARUKA NAO VIZURI TUSasa unataka kujifananisha na mwanaume yaani ukomoane ama uweke ligi na mwanaume?
Mnachosha hizo pahala zenu bure, hamtukomoi sisi. Na ndomana ngema na mashimo yamekuwa mengi siku hizi.
#Hallelujah!!!
Hatuwezi kufanana, mnajichosha bure.hakuna anaeshindanda ila tunaishi maisha yetu, agenda ni wanaume mnadhani wanawake hawatamani wanaume wengine TUNATAMANI SANA NA TUNARUKA NAO VIZURI TU
Hao unaowalenga ni percentage ndogo.safi bora wewe unajua ukweli kua inachapwa nilikua nawalenga wanaume wanaoamini eti wake zao hawana michepuko.
Wewe unajua ukweli kua inachapwa nilikua nawalenga wanaume wanaoamini eti wake zao hawana michepuko.
sio kweli acha kujumuisha, uliokutana nao wewe ndio wako hivyo sio wote usipende kumjulishaHuyo mwanamke unaemuamini sana, unampenda sana na anakupenda sana huyo huyo lazima anae mchepuko wake. (Ukibisha haibadili ukweli)
Gari yake imeharibika amekupigia anaweza kuchelewa mwambie akupe location umemrequestia bolt inayokewea na fundi kurekebisha, na bolt ikifika apande impeleke nyumbani gari italetwa na fundi.
Tena kama hujampiga matukio ni ngumu mwanamke kukusaliti.