Wanaume leo nawapa ukweli mchungu: Hakuna mwanamke asiye na mchepuko

Wanawake ni ngumu sana kusaliti, ni malaya tu ndo wenye iyo tabia
 
Nisha cheat before marriage hakuna jipya,kuendekeza umalaya tu
Safi kabisa...wee vitu ushafanya huko kabla ya ndoa umeolewa eti uanze kuhangaika Tena Ili ugundue nini?
 
Ni sawa tu kila mtu afanye kile kinachompa furaha uzur kila mtu anatumia maungo yake haendi na ya mwenzake #KATAA NDOA NI UTAPELI #
 
Si ndo hapo Sasa...mimi Huwa nasikitika(ga)sana kuona wanawake waliopo kwenye ndoa wanacheat waume zao,kama humpendi mtu uliolewa naye wa nini?huyo itakuwa Kuna stage aliruka labda mwenzetu alivyomaliza chuo akaenda kuolewa moja Kwa moja Sasa Kuna vitu hajawahi kufanya kabla ya ndoa ndo anavifanya kwenye ndoa
 
Kwa kweli karuka stage!na anajisifu kabisa eti mara tatu!yaani mtu na akili zako ukawavulie nguo wanaume watatu tofauti na mumeo nachoka mimi
 
Wewe bwana hapo hamna hata moja la maana unless ungeniambia mume wako HANA HELA!....Mwanamke uliyeolewa kama mume hakutunzi sawa,ila hakikisha huo mchepuko unakava vizuri matunzo uliyokosa huko kwa mumeo
 
Kwa kweli karuka stage!na anajisifu kabisa eti mara tatu!yaani mtu na akili zako ukawavulie nguo wanaume watatu tofauti na mumeo nachoka mimi
Na hii ndo Dunia ya Sasa na usasa wake na watu wanaona kawaida tu ptuuhh...sijui watoto wetu itakuwaje wooii🙆
 
NDIO MKUU NI WOTE, kiasili mwanamke sio mtiifu ni muasi ndio maana unaona Eva alikua wa kwanza kumuasi Mungu, kama mwanamke alimuasi Mungu wewe ni nani asikuasi.
Je kwa mtu ambaye haamini habari za Eva, Adam na Mungu unamsaidiaje aamini maneno yako? Maana kuna wengine ukianza hizo stori za Eva sijui Adam watakuona mwehu kabisa
 
Mi naamini ni kweli kila jinsia inachiti ila wanaume tunaongoza. Wanawake naweza sema ni 50/50 kutokana na nature yao, sio watu wa mizunguko kama wanaume na hivyo mara nyingi mazingira pia yanachangia kuwaepusha kuchiti.

Ila pia wanawake wengi wanamudu kujizuia kuchiti kuriko wanaume
 
Wa kwangu aliyafanya yote hayo, na sikujua. Lakini siku mchepuko wake ukajikuta una-chat na mimi akijua ni mke wangu! Sasa alichokosea yule mke ni kuzidi kumuamini yule bwana wake, hawakujua nilitunza vielelezo. Kwa kiburi cha yule mke hivi amepooza (stroke) yupo kwao. Hakuamini nilichokifanya.
Hivi wewe mke wa mtu utarukaruka, mara unatunza siri mara huyo mchepuko wako anakamatwa, anakutaja.
Usishindane na mumeo kuchepuka.
Mke anayechepuka analeta madhara zaidi ya mume anayechepuka.
 
NDIO MKUU NI WOTE, kiasili mwanamke sio mtiifu ni muasi ndio maana unaona Eva alikua wa kwanza kumuasi Mungu, kama mwanamke alimuasi Mungu wewe ni nani asikuasi.
Ndani yako una roho ya Jezebel. Unatumia Biblia kujustify uzinzi. As if ni sawa mnachokifanya?! Kweli ndio maana makanisani ndio mpo wengi. Mnajua mnayoyafanya sirini.

Ufunuo wa Yohana 2:20-21
[20] Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu.

[21] Nami nimempa muda ili atubu, wala hataki kuutubia uzinzi wake.
 
Ujumbe umefika
 
Wewe bwana hapo hamna hata moja la maana unless ungeniambia mume wako HANA HELA!....Mwanamke uliyeolewa kama mume hakutunzi sawa,ila hakikisha huo mchepuko unakava vizuri matunzo uliyokosa huko kwa mumeo
kwanini una justify kirahisi ivyo mana kiuhalisia kwenye familia mmmoja ndo hubebeba baraka za familia pakiwa na upe ndo,amani na uvumilivu Mungu hubariki. kiufupi kama ni Malaya ni Malaya tu no way out. kunguru ni kunguru na njiwa atabaki kuwa njiwa siku zote no matter what refer wazazi wetu.
 
Hakuna kipya ulichoandika. Sisi wenyewe tunachepuka na wake za watu kwanini nijipe moyo wangu hachepuki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…