Wanaume leo nawapa ukweli mchungu: Hakuna mwanamke asiye na mchepuko

Huyo

Gari yake imeharibika amekupigia anaweza kuchelewa mwambie akupe location umemrequestia bolt inayokewea na fundi kurekebisha, na bolt ikifika apande impeleke nyumbani gari italetwa na fundi.
Tunajua sana, na tunajua kuwafuatilia bila nyie wenyewe kujua, na tunawafuatilia, mara nyingi ukweli wa mwanamke uko kwenye maneno yake mwenyewe, siri iko katika kitu ambacho anapenda kukizungumzia ,kinyume cha maneno yake ndio msingi wa siri yake.

Mfano ikitokea anakueleza umbea wa mke wa jirani anayependa kuchepuka ujue anajihakisi yeye mwenyewe, au anakupa stori ya kaka mmoja anayependa kutongoza wake za watu ofisini na kwamba yeye anachukizwa na tabia hiyo, ujue analalamika kuhusu mpenzi wake ofisini anayependa kutongoza wanawake wengine.
Ukiyageuza maneno ya mwanamke unapata ukweli wake.
 
Wewe sasa unafahamu ukweli wa tabia za wanawake, wanajifanya wasafi katika maongezi yao lakini wanafunika hulka zao alisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…