Wanaume leo nawapa ukweli mchungu: Hakuna mwanamke asiye na mchepuko

Kwamba wakishatoa sadaka ya Ahadi ule mzunguko wa kwanza wanaondoka muda huo huo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Duuh,
Maajabu haya.

Mbona umewapea kataa ndoa ubingwa mezani?

Hadi muda huu
#KataaNdoa - 5
#PendaNdoa - 0,

Unafaa kuwa consultant wa haya mambo
 
Mwanaume yeyote yule akianza kumfutilia mke wake maana yake anatafuta sababu ili amuache kivyovyote. Imani ya kwamba hazipigwi ipo kama haipo lakini punde TU akikunasa ndo inaishia hapo.

Wewe chapika vile upendavyo but elewa sisi wanaume tukianza kumfutilia mke jua TU Kuna sababu inatafutwa Kwa Hali na Mali. Sasa hii kwetu sisi Huwa ni ngumu mno kuwekeza muda kuanza ku deal na mwanamke..... Umalaya wako kuwa ulisha mcheat mara3 ukweli ni kwamba usha mcheat mara30 zaidi. Hii kusema **** yako ni ya Uma.
 
Mtoa mada yuko sahihi kwa asilimia nyingi sana karibia 97% .... hawa viumbe tunawachukulia pouwa lakini behind the scenes wana matukio sana
Ukiangalia komenti nyingi za wanaume ni.kama wanajifariji lakini hali ni mbaya sana

Kuna jamaa mmoja ni mtu wangu wa karibu sana,alikuwa na mke wa mtu, anakwambia jumapili mwanamke anapaki gari kanisani,kisha anachukua usafiri mwingine wanaenda kula raha

Kuna ishu moja ya kuacha gari kwa stahili hiyo,nayo ilikuwa inafanywa na mke wa naibu waziri mmoja,anapaki gari mlimani city kisha kigogo wa Bank moja anaenda nae bagamoyo kula raha,hii ishu iliripotiwana magazeti ya udaku ya Shigongo na mpaka picha juu

Tusijipe moyo ground ni kama Hormuz
 

Unachosema ni sahihi, Mimi niliamini wakwangu mda sana, nikakuta wanamla, wala sikuongea, nikamwacha na wanawa nikaondoka!

Nikienda tu Shuleni kwa watoto kufuatilia Kili kitu, malipo, uniform na sister mmoja nikachukua namba yake nikamwomba anisaidie.

Nikiondoka Nika mblock for two years straight, no discussion, sitaki kikao, sitaki kitu, akitaka talaka nikaahidi kwenda.

Ni miaka 12 sasa, Mwanamke yule majuto aliyonayo natamani nikupe namba yake uongee naye, ameliwq, kachakaa, Hana Raha, ana vihela, anahonga Vijana tu!
 
Nia ya uzi huu hasa ni ipi?
-kutahadharisha?
-kujiweka kwenye mizani sawa?
-ushindani?
-kueleza kiwango cha ujuaji?
-kuumiza roho/nafsi?
-kuomba ridhaa ya ulingo sahili?
Au ni kipi hasa?
 
Mtu tayari ushasema hawezi kukosa sasa hata ukiwa inamsaidia kila shida si atakuwa naye tu au ndio solution mm cjakuelewa Mkuu
 
πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜†
 

Attachments

  • Screenshot_20260720_201217_Lite.jpg
    169.8 KB · Views: 16
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…