Wanaume leo nawapa ukweli mchungu: Hakuna mwanamke asiye na mchepuko

Hizo tabu zote za nini ikiwa mtu anatumia K yake? Si ndio mpaka nimkamate hapo atarudi kwao Kila mtu mbao yake labda niwe Mzee.

So jificheni kweli mda huu tuna Nguvu hakuna huruma ila niache kutafuta pesa eti Kila kitu nifuatilie mwanamke? Sidhani kama naweza fanya huo ujinga.
 
Ni kweli, awali niliamini kuwa mtu akiwa ndoani hawezi kutoa uroda kwa mwingine hadi mume wake afe, kumbe sivyo! mtu yuko ndoani lakini anatoa uroda kwa mwingine kisha anajikausha na maisha yanaendelea kama kawaida. Wenye ndoa wakae kwa kutulia na wake zao tu, huku wakijua kuwa wake zao hutoa uroda kwa wanaume wengine, wasiwe na wivu. Nimeona haya mambo kwa kufanyiwa mimi na mimi kuwafanyia wengine, yaani kugongewa mke na mimi kuwagongea wengine wake zao
 
Mleta mada usi generalise tafadhali!nina mwaka wa tatu wa ndoa takatafu,sijawahi kucheat wala ksina mpango....Yaani the way Mungu kanipa mume mwema dhambi ya uzinzi nimeikataaa,sitaki kuishi na guilty ya kucheat...Tatizo la kucheat unaanza kuteseka wewe unacheat
 
Kuna jamii fulani huko kaskazini mwa nchi mwanaume akiwa na hamu anaenda kwa mke wa rika lake anajigongea tani yake, mwenye mke akija na akagundua kuna njemba inajitwalia ndani atazuga hajaona na kupitiliza kwenda kwingine kupisha jamaa amalize shughuli yake ndani. Hawanaga wivu wale watu na huo ndio utamaduni wao katika mapenzi
 
Ccm imeharibu Nchi
 
Huu ni Maandiko wa Mwanaume 100%

Nimeishia paragraph ya 3
 
Kutokana na mambo haya ya kutokuweza kumdhibiti mke asiliwe na watu wengine nishabadili msimamo mkali nisije nikaua mtu kwa wivu. Siku hizi najua kuwa wanawake wa ndoa hutoa uroda kama kawaida hata kama hawajatongozwa, wenyewe hujiparatisha kwa njemba wanazotaka ziwapige miti kutokana na sababu mbalimbali, sababu kuu ni kutaka hela na kutaka kuonja ladha mpya ya mtulinga
 
Ukute umeoa mke mzuri, shepu imo, pisi kali na huna hela, wahuni watakugongea tu, watafika bei ili wambandue mke wako, na ukute umeoa malaya maji utayaita ma
 
WAnawake waliotembea kilometer nyingi kabla ya ndio mna tabia hizo.

Unapata mtu wa kufanana nae, kama wewe mzinzi utapata mzinzi. Kuna wanawake wamenyooka utapata mnyoofu
 
hongera kwa kuendeleza kauongo tulikofanikiwa kuwadanganya wanaume kwa mda mrefu sanaaa. "Sijawahi kucheat", "mimi siwezi kucheat"

usijali kuna wanaume wajinga bado wanaamini huo uongo so yes, keep it up. (Lakini ukweli mimi na wewe tunaujua)
 
Kukwepa fedheha ya kugongewa kuna jamaa zangu waliamua kuoa wanawake wabaya/pollygon, hawana shepu, hawavutii kimahaba, hawajirembi na hawajui kuvaa nguo zinazowapendeza. Jamaa waliona wameshinda fedheha hiyo ila kuna wanaume walijitokeza kuwapenda na kuwatongoza ili tu wawaonjee mpiko
 
Atajionesha kwa kila mpendwa wajue alikuwepo. Ajabu akishatombwa nyumbani anafika muda uleule wa kutoka Ibada. Kwenye kuchepuka wanawake wanawaacha wanaume kwa mbali sana.
Ni kweli wana mbinu nyingi sana, yani wanafanya matukio sehemu usiotarajia kabisa, sasa kama hiyo ya kuzuga kaenda kanisani, au wale wa makazini mida ya lunch,na mbinu zingine nyingi
 
kama mwanamke hana mvuto wa kutongozwa, yeye atajitongozesha na hapo wanaume wengi huwa hawachomoki
 
Na wewe pia usi generalise, sio kila anaye cheat anateseka na hiyo guilty ..mambo ni tofauti kabisa kwa ground
 
Wewe ni mwanamke kweli? Hii sentensi umejitenga na wanawake.
katika moja ya hotuba zake Jakaya Kikwete 2013 alisema "Wanasiasa hawana rafiki wa kweli wala adui wa kudumu ..." mwisho wa kunukuu.

Jakaya hakusema "wanasiasa sisi hatuna ..." alisema "wanasiasa hawana ..."

KWAHIYO KWASABABU ALIWAONGELEA WANASIASA KWA KUWAADRESS YEYE HAKUA MWANASIASA ?!!

yani wewe kwa akili zako hizo ndio mkeo anacheat vizuri maana unajustify mambo unajikuta "mke wangu kaenda kanisani na karudi mda ule ule" haaa haa ha karagabao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…