Wanaume leo nawapa ukweli mchungu: Hakuna mwanamke asiye na mchepuko

umejuaje ukicheat unabaki na guilty kama haujawahi kucheat ?!!
 
NDIO MKUU NI WOTE, kiasili mwanamke sio mtiifu ni muasi ndio maana unaona Eva alikua wa kwanza kumuasi Mungu, kama mwanamke alimuasi Mungu wewe ni nani asikuasi.
Ah wee dada/kaka tafadhali hebu niondoe mimi kwenye Hilo kundi Abeg....🤗
 
Ndio maana huyu ni malaya ile guilty inamtafuna moyoni analeta ngonjera zake ili apate ahueni.
Alidhani wanawake wenzake watakuja kumtetea matokeo yake wamekula kona.

Hapo Sasa.....😏
hakna haja ya kuweka asilimia kiasili mwanamke sio kiumbe mtiifu. Na wanamake wanaendeshwa na hisia lazima hisia zitahama wakati fulani tatizo hatutaki kusema ukweli tunawa manupulate wanaume.

kuna member humu aliweka thread kua wanawake pia tunatamani wanaume watu wakampinga sana ila ALIKUA SAHIHI, hata mitaani tu utawaona wanawake wanavyowakodolea macho na wanavyojichekesha kwa wanaume wenye mvuto hasa wanawake above 35 ila utawasikia eti hawatamani eti hawacheat
 
WAnawake waliotembea kilometer nyingi kabla ya ndio mna tabia hizo.

Unapata mtu wa kufanana nae, kama wewe mzinzi utapata mzinzi. Kuna wanawake wamenyooka utapata mnyoofu
Hao wanyoofu nao wana dark side yao pia,nasemaje kitendo cha mkeo kuwa na wanaume kazini au sehemu yoyote ya mchanganyiko na hushinda kwa muda mrefu kupigwa ipo, ishu na kampani yake

Kuna kipindi nilikuwa morogoro,haya matasha ya michezo wafanyakazi wa serikali, nipo nao karibu restaurant wanamsema mwenzao mbona alombwi au kwakuwa ndoa ni mpya, wakasema ngoja azoee kidogo

Wanawake wenyewe wanasema kushinda na wanaume maofisini changamoto sana,wengine wako smart kwahiyo mvuto unakuwepo tu,just imagine watu wanashinda maofisini masaa mengi kuliko home unatarajia nini

Kuna mtu alishawahi post kwamba katika wafanyakazi wa kike ambao ofisi kwao hakuwahi kuona makando,siku moja akiwa kwa juu alimuona anatoka kwenye gari kulombwa hapo hapo ofisini parking zile za maghorofani, mke kama huyu hutamwona na txt za ajabu wala simu za ajabu lkn ofisini analiwa tena kwenye gari

Usimuamini mwanamke ishi nayo hii
 
Wengi ni kata mti panda mti, kitu ambacho hata wanaume wengi wanafanya. Ukiona Ke anachanganya Me kwa wakati mmoja huyo ana mapungufu yake tu, wengi wakishakata mti ndio wanapanda mwingine.
 
Ah wee dada/kaka tafadhali hebu niondoe mimi kwenye Hilo kundi Abeg....🤗
Enheeee wacha we !! kwamba wewe ni special kuliko wanawake wote, kwamba wewe hauna dark side, wacha hizo ngonjera my dear the sky is blue no matter the denial. You are not loyal even to yourself how could you be loyal to man.

enemei keep the lie going kuna wanaume wajinga wa kuamini uongo huo wa karne zote
 
Ukweli mchungu, japo waaminifu wapo katika mia huenda akawa mmoja tu. Kama mleta mada anavyosema ukimfuatilia hatua kwa hatua utamdaka tu. Yote ya nini hayo tulee wa watoto. Magonjwa sasa 🤔
 
Hivi mtu umeolewa unaanzaje kumcheat mume wako huwa najiuliza sana!!so kama wewe ulimcheat mumeo/una michepuko na hiyo dhambi inakutesa unaona huna pakupunguzia mauchungu yako umeamua uje uteme cheche humu utujumuishe wanawake wote kwamba niwachepukaji...ohh pole sana tubu neema Bado ipo Mungu atakusamehe!!ila mumeo kama akijua umemsaliti umekwisha yaani gudubai😀
 
Acha ujanja ujanja. JK naye hakupaswa kujitenga. Wanasiasa janja janja sana.
 

Jibu maswali yangu haya bila kupepesa:

1. Je mumeo ndio anavutia kuliko wanaume wote unaokutana nao ?!

2. Kwa nature ya magubu ya wanawake acha kupretend hapa hakuna faiea ya kupretend hili ni jukwaa huru, Je mumeo hajawahi kukukwaza ukatamani kumlipizia ?!

3. Je haujawahi kua na fantacy katika tendo ie wild sex, big juju hurt me, all night ride, smuggle sex etc ambayo mumeo hana uwezo wa kukidhi ?!

4. Umri wako ni gani ?, kwamba umelala na huyo mumeo maisha yako yote. Haujawahi kua na x ? Kwamba mumeo ndio sex partner bora kuliko max wako wote ?!

5. Kua muongo kunakunufaisha nini ?
 
Alipewa mbususu bure acha aigawe bure. Acheni kuzua taharuki gaweni muwezavo ivyo vilima utamu.
 
Kuna watu hawana uoga wala hawaheshimu agano walilofunga mbele za Mungu,jamani mimi nikifikiria kuvua nguo kwa mwanaume ambaye si mume wangu nachoka kabisa, hapo masikini ya Mungu mbaba wa watu ukute yupo anapambana kukutafutia maisha mmmh hapana wacha nionekane niko nyuma ya muda huo usasa wa huyu mleta mada siuwezi
 
Siwezi kubishana na wewe hatutaelewana katu na nadhani hapa unazungumzia mahusiano ya GF& BF siyo ndoa kwenye ndoa huwezi waza kufanya huo upumbavu labda kama ni asili yako...

Au pia yawezekana mama yako alikuwa na michepuko(samahani kusema hivi nimewaza tu) sasa ukakaa kutafakari ukaona kama "mama yangu niliyemuamini sana aliweza kumsaliti baba basi wanawake wote ndivyo walivyo"na wewe umetumbukia humohumo Sasa inakutesa hiyo hali me nakupa tu polee😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…