Wanaume ma bikira tukutane hapa

Wanaume ma bikira tukutane hapa

Mhmmhmhmhmhmhmhmh
I doubt...... Yule mgalatia alitafuta sijui bwana humu.. Mara vikaenda vikarudi wakataka kuuza vitu......
Jana bikira maria kaomba kukutana na mabikira wenzie... Mara vikaenda vikarudi....
Leo Wenawe unataka mkutane na kina Joseph sijui....
Kwahiyo mnataka kutuambiaje kwani??!!!!!!!!!

Mhmmhmhmhmhmhmhmhmhmhnhnhmhmhmhhhhhhjhhhhhhhhhhhhhhhmmmmmmmmmmmm.
Owkey.

Cc Smart911
 
Mke Wangu Atafaidi. Msiamini Stori Nnazoandikaga Humu Na Comment Mie Krabi. Sijawah Onja Tundu Lissu..
 
Sitaki kuchezewa na mabinti natunza bikira Yangu ctaki kuchezewa na videmu
 
Arrgh, mambo ya copy paste hayo. Kuna heading jana ilikuwa ina trend yenye heading kama hiyo. Jamani kuna issue nyingi za kuongelea humu MMU
 
Sijui hzi bikra za pande ipi unayowakutanisha hapa nisije kuingia kumbe simo
 
Back
Top Bottom