Wanaume ma bikira tukutane hapa

Namshukuru Mungu kwa kweli nilipofikia hata sasa wewe ni ebeneza .
Ninata maisha yangu yawekwe juu yako , ninata ujana wangu BaBA uwe kielelezo asante Yesu .

Yasiyo wezekana kwa wanadamu kwa Mungu yawezekana.
MATHAYO 19:25-26
 
Inasikitisha Mwanaume kujiita Bikra!!

Bikra ni kwa Mtoto wa kike.
 
Hata Mimi nashindwa kuwatathimini,,wanadhani kila neno laweza kutumiwa mahala popote..?

Bikra Mtoto wa kike!!! Wakiume rijali.
 
Mimi sio bikra ila ni Bakra nahis mwandishi umekosea nimekuelewa lakin namimi nimo sijagusa ata kwa bahat mbaya
 
Karibuni wanaume wote ma bikira tuweze ku share mambo kadhaa yanayo tuhusu, pia afya ya uzazi ili tuwe makini tukiingia kwenye mahusiano.

Karibuni sana.

Nb: Kama umewai piga mastarbation wewe sio bikra.
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…