Wanaume Madomo Zege Bado Wapo?!

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Leo nimeona niulize watz wenzangu dunia nzima wanasoma jamii forum

Miaka ya 1995, nilipataga mabwashee 2, walikuwa wananipenda sana alafu wanajuana

Jaman me sio malaya wala muhuni me mwanamke wa shoka jembeee Malkia wa nguvu, hata Yesu alisema zijaribuni kila roho so nikawaweka kila bwashee kwenye majaribu

Bwashee 1: alinipenda sana ila alikuwa mdogo kwangu kwa miaka 5.. akanizoea kama dada dada kumbe dada mdomoni, akaona kuniingia kunitongoza hawezi, akawa ananitumia wanaume watu wazima (gonjwa langu), basi akiwaleta wengine wanavurundaaa, mechi sitoii nawaektia wanaenda kumlalamikia mwanamke mwenyewe hajisomi miguu hafungui

Akanitaftia bwashee wa mwisho, alikuwa mkubwa kwangu miaka 15, huyu jamaa alinipenda Hatarious na mie nikamkubali vbaya mno, akawa yupo tayar kuniona, siku anatangaza nia bwashee no 1 akaja juu oh me huyu demu wangu na nene me natoa macho siri ikatoka ngumi zikapigwaa me nikawaachia wasamaria wema wawaamue

Kiukweli sikuwahi kuwaona wale watu tena sijui waliishia wapi, me nikaolewa na bwana mwengine, ila we keep intouch kwa simu (hehe afu wapo huku wanasoma)

Swali langu kwa wana JF ivi wale wanaume madomo zege bado wapo?!
Wanaokupenda kwa mbali ila kukutamkia hawawezi?!

 
Me mwenyewe sijui kutongoza... nishakuwa mzee

Mume kanidanganya mpaka sasa nimefungwa magoli 2 nina mimba ya mapacha
siogopi wazee, sababu hata mimi ni mzee pia
Wewe sema neno moja tu... nafsi yangu itatulia
 
Hivi bado kuna swaga za kutongozana za usiku nakosa usingizi, nikilala nakuota, nikinywa maji nakuona kwenye glass??
hahaaaaaa. yaani ule ulikuwa ni uongo uliotukuka. Mtongozaji na mtongozwaji wote wanajua ule ni uongo tu.. lakini hakukuwa na namna.
 
Njoo chumbani kwanza tutete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…