ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Hivi kuna watu bado wanatongoza? Dunia ya leo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teenager ilichangia bhana on that time.Ungemsikiliza vizuri ungemuelewa tu.Kila mtu huwa na gia yake ya kuanzia. ukiona anazunguka kwanza mwambie tu aseme anachotaka
bado zipo.... Naomba nikuje nikunong`oneze hayo maneno,,🙁 nadhani utanielewa coz hujaambiwa siku nyingi..😀Hivi bado kuna swaga za kutongozana za usiku nakosa usingizi, nikilala nakuota, nikinywa maji nakuona kwenye glass??
Hii naona kama domo limebunda uji wa ulezi. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Domo zege au domo tenga? !
Nakula bila kuwinda mkuuWewe ni Bikra au
Pesa ndio kila kitu Sijui kutongoza pesa yangu inatongozaMuhahahaha
Hahahaha.Ahahaha chizi wee
Nilitegwa nikategeka kwa sugar mummy tuliyekuwa tumepanga jirani, basi nikajikuta nime do.Bikra yako ulitoaJe? !