Dragoon
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 7,012
- 8,139
Nataka anifundishe kutongozaShauri yako..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka anifundishe kutongozaShauri yako..
Leo nimeona niulize watz wenzangu dunia nzima wanasoma jamii forum
Miaka ya 1995, nilipataga mabwashee 2, walikuwa wananipenda sana alafu wanajuana
Jaman me sio malaya wala muhuni me mwanamke wa shoka jembeee Malkia wa nguvu, hata Yesu alisema zijaribuni kila roho so nikawaweka kila bwashee kwenye majaribu
Bwashee 1: alinipenda sana ila alikuwa mdogo kwangu kwa miaka 5.. akanizoea kama dada dada kumbe dada mdomoni, akaona kuniingia kunitongoza hawezi, akawa ananitumia wanaume watu wazima (gonjwa langu), basi akiwaleta wengine wanavurundaaa, mechi sitoii nawaektia wanaenda kumlalamikia mwanamke mwenyewe hajisomi miguu hafungui
Akanitaftia bwashee wa mwisho, alikuwa mkubwa kwangu miaka 15, huyu jamaa alinipenda Hatarious na mie nikamkubali vbaya mno, akawa yupo tayar kuniona, siku anatangaza nia bwashee no 1 akaja juu oh me huyu demu wangu na nene me natoa macho siri ikatoka ngumi zikapigwaa me nikawaachia wasamaria wema wawaamue
Kiukweli sikuwahi kuwaona wale watu tena sijui waliishia wapi, me nikaolewa na bwana mwengine, ila we keep intouch kwa simu (hehe afu wapo huku wanasoma)
Swali langu kwa wana JF ivi wale wanaume madomo zege bado wapo?!
Wanaokupenda kwa mbali ila kukutamkia hawawezi?!
Yaani I remeber rafiki yangu mmoja aliambiwa nakosa usingizi nakuwaza wewe tu, nilicheka mpaka nkadondoka chini alikasirika balaa.hahaaaaaa. yaani ule ulikuwa ni uongo uliotukuka. Mtongozaji na mtongozwaji wote wanajua ule ni uongo tu.. lakini hakukuwa na namna.
vp wewe hajawahi kukufuata mtu anakuambia maneno hayo, au bila wewe hawezi kuishi?Yaani I remeber rafiki yangu mmoja aliambiwa nakosa usingizi nakuwaza wewe tu, nilicheka mpaka nkadondoka chini alikasirika balaa.
Nikinywa maji nakuona kwwnyw glass. Nilimkataa nikajua ni mchawi. Unanionaje kwa mfano!!! Ghkaaaa ndukiii[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]vp wewe hajawahi kukufuata mtu anakuambia maneno hayo, au bila wewe hawezi kuishi?
Ghkeee. Kwamba vepee?? Zamani walikuwa wanatongoza?Siku hizi wapo wanawake madomozege.... kupenda wanapenda kusema hawasemi
Zamani mila zetu zilizingatiwa sana ila sasa sio mila tena bali udomo zege.... wanawake wameweza kuiga vyote kuanzia uvaaji ila kutongoza wameshindwaGhkeee. Kwamba vepee?? Zamani walikuwa wanatongoza?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Zamani mila zetu zilizingatiwa sana ila sasa sio mila tena bali udomo zege.... wanawake wameweza kuiga vyote kuanzia uvaaji ila kutongoza wameshindwa
Ungemsikiliza vizuri ungemuelewa tu.Kila mtu huwa na gia yake ya kuanzia. ukiona anazunguka kwanza mwambie tu aseme anachotakaNikinywa maji nakuona kwwnyw glass. Nilimkataa nikajua ni mchawi. Unanionaje kwa mfano!!! Ghkaaaa ndukiii[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]