Wanaume Madomo Zege Bado Wapo?!

Hivi bado kuna swaga za kutongozana za usiku nakosa usingizi, nikilala nakuota, nikinywa maji nakuona kwenye glass??
Kama mtu anafikia kujiua kisa kupenda anashindwaje kumuwaza mtu siku nzima au kukosa usingizi?

Sema wadada wa siku hizi mnachowaza ni pesa tu na wakaka ni papuchi tu, mapenzi ya kweli na kuaminiana amna
 
Yapo sana, kama hauaminiki peke yako mkuu.
 
Mie kubwa la madomo zege nipo.
 
Unazingua sasa mbona sijaona jaribu ulilompa, zaidi ya yeye kukupa jaribu?
 
Tupo dada mimi mmoja wao,hata hapa naogopa kumtaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…