Kikao kipi tena..!?sio wakimbizi hao ni wanaume wale wa kwenye kikao chenu hamuoi mnakula na kusepa
😂😂😂Nina majirani zangu huwa wakiamka asubuhi wakiwa wanatoka humo ndani kama wanakimbizwa. Anatoka wanaume kwa wanawake ukihesabu 9 unakuta unacheka tu, maana wanatoka wamevimba kisura kukaa watu wengi oxygen inakuwa ndogo asubuhi wanatoka kama maputo 🤣
🤣 🤣
Hawa n wale wa q net wapo mafunzonican someone switch off the light he want to see something!View attachment 2280146