1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Mbona hupokei chimu yangu tena we nawe![emoji3]Nimekumbuka tu enzi hizo
Mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.
Kwa nini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue.
Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili, eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa, sijui aliomba ya nini mxieee"
Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba,
Inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.
Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.
Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.
Please remember to call back.
Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]
Kheeeee.....!!!
Mshaki mmoja sh ngapi? Kama ni first date tayari keshapoteza marksbabu hyo ni fact!huez anza ita mhhudum unauliza kilimanjaro maji sh ngap khaaaa
Hahahahaa vimeo wapi.? Wala siyo vimeo, Si huwaga mna falsafa yenu mnasema usimkubali haraka.?
Ndyo,,, mlima tutapanda wote na kilele tutafika [emoji7]muone !unapenda kitonga eh
Dah...Subiria bana..labda mtandao tu ...unasumbua sana leo...ππππhamna bado
Ahaaa. Nikajua unatoa ya kwakoSiyo mimi jamani nimezungumza kwa niaba ya wanawake wanaoumia kimya kimya mimi ni MAG.
Duh nasubiriaDah...Subiria bana..labda mtandao tu ...unasumbua sana leo...ππππ
Mshaki mmoja sh ngapi? Kama ni first date tayari keshapoteza marks
hahaahahahahahahahahaha aibu sana ndo hawa unaenda nae hotelin anauliza bei kwa nusu saa zima mnauliza tu bei !khaaa! we km una mwanamke we fika agiza msos na vinywaj pigeni masuala ya kusema heinken kubwa sh ngapi yaishe jaman! we agiza kunywa PAY THE BILLS
Khaaa!, nusu saa mzima anauliza bei?!!
Shoga huyo sasa atakuwa ana negotiate bei..
Najua wengine wanakuwa na nia na kumpeleka mdada mahala swafi penye swagga lakini mambo ya kufika na kuanza maongezi kama hayo badala ya kuwa na binti si mazuri sana.
Halafu chonde chonde wasiulize Bri mbele yetu mweeh!..