Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Hahaha Juzi nilikuwa kwenye graduation moja, ya darasa la 7. Basi nikatarget wadada kama watatu hivi. Environment ilikuwa mbaya kuflirt. So nikawa nasubiri waende sehemu ambayo haina watu sana.

Wa kwanza akatoka, nikamfata, nakukimbia kote Kule, nikapiga vocal, sijamaliza tu, naona kioo cha X-trail kinashuka. 'Ndani!' Basi yule Dada akaniambia kaka atamind acha niende.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wapili, namuona anatoka nje na cake pamoja na graduate wake, mie namkaribia tu. Huyo kasepa na gari[emoji19] [emoji19] [emoji19] .

Watatu sasa, hapo graduation ilishaisha. Watu wachache. Huyu alikuwa na wamama wakubwa wengi. Tho mmoja ndio alikuwa nae karibu sana, nikaassume kuwa ni mama yake. Nikamtime mama asepe. Nikamfukuzia. Kumbe aliyeondoka ni Aunty, mama alikuwa kaketi[emoji23] [emoji23] [emoji23] Convo ilikuwa hivi;

Ghost: 'Hey mambo, naitwa Ghost. I say you from the gate, I thought you were really cute, and I had to come and tell you.' Hapo naongea kwa sauti cause kulikuwa na mziki. So mama alisikia yote.

X: 'Oh really, thank you.' Big smile

Ghost: 'Congratulations, where is your graduate?' Akanipointia. Nikampa hongera kijana.

Ghost: ' What about you? Are you in university?'

X: 'Yes, nasoma Waterloo university, Canada. And you?' Nikamjibu pamoja na fixi juu maana alionekana maji marefu.

Ghost: 'I really have to go, I would like to have your number, maybe we can hangout sometime.'

Kilichotokea. Akaangalia pembeni, alafu akaanza kusema 'mama yangu huyo.'. At this time mama kweli alikuwa amenipiga jicho anasikiliza.

X: 'No I can't give you my number. Thanks for asking tho.' Bonge la smile. Nikaona duh! Leo mission failed.

Ghost: ' What about Facebook?'

Akawa anaongea polepole 'mama'

Basi nikamuaga. Huyo nikasepa without a fish. All I heard was...

X: 'Thank you.'

Huyu X alikuwa kisu kweli. Anyway nikarudi simu phonebook outdated.
My point[emoji115] [emoji115] [emoji115] ? Nyie tengenezeni mazingira mazuri yakutongozwa. Sasa Huyu Dada mzima nae analalamika mama. Amemiss bonge la opportunity. Ningempigia same day alafu Monday tunaenda kupreorder IPhone 8[emoji12] [emoji12] [emoji12] .

Cc Wale wote mnaopata tabu kupiga vocal, tumia hizo line zangu, zitwist kidogo tu. Hazijawahi kufail. Unaweza kosa number but ni mazoezi tu. Just make the girl never forget the moment.

-callmeGhost
ah zako ziko outdated sana...
 
hivi wewe Complex kinachokufanya uende hotelinuulizie bei ya soda ni nn ? au uulize bia bei zake ni nn na ndo first date na mwanamke ! mie atleast nitakuelewa ukiuliza bei za rooms !sio misos !aibu aiseee !sijui lakin

Hahhaaaa, Aisee mimi nauliziaga bei ili nijue namchangia Magufuli na serikali yake sh ngapi. Nikikuta naichangia serikali yagu tukufu pesa kidogo, Basi naondoka hiyo hoteli naenda tafuta hoteli ambayo nitachangia pesa nyingi.
 
hahahahhha usitufanyie hvyo mkuu !
Au mkuu usipopigiwa ujue mwanaume anamlia tyming ya kumwacha demu wake. Akishapiga chini tu utaona simu kama mvua mara ooo samahani nilikua nje ya nchi na nini hapo sasa ushindwa mwenyewe, akipiga simu na maelezo kama hayo unamwambia nakupiga faini ya kukawia kupiga simu
 
Nimekumbuka tu enzi hizo
Mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.

Kwa nini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue.

Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili, eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa, sijui aliomba ya nini mxieee"

Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba,
Inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.

Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.
Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.
Please remember to call back.

4b015155e1b3215f74aacab08cf5c8a8.jpg

Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]
Please inbox me your number will call rightaway
 
Naomba namba yako
 
Kwanza wewe hadi leo PM's zangu hujibu au PM sio sawa na namba ya simu? Hornet
 
Hahhaaaa, Aisee mimi nauliziaga bei ili nijue namchangia Magufuli na serikali yake sh ngapi. Nikikuta naichangia serikali yagu tukufu pesa kidogo, Basi naondoka hiyo hoteli naenda tafuta hoteli ambayo nitachangia pesa nyingi.

mie huwa naona kero! kuna sk mkaka mmoja akaishiwa 500 akaniambia mbiti ongezea hapa (hapo tupo kwa daladala wanachuo) !heee fika hotelini aliuliza bei ya koka na pepsi! nilipomaliza kunywa soda huyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Haaaaahhhhaaah..! mbona ulimkatili mwenzako.? Mwenzio hapo alikuwa kabakisha pesa ya room wewe hukumsoma tuu.
 
Back
Top Bottom