pale unaposubiria msg za tigopesa na ukijua naira kadhaa soon zitaingia kwa account for the weekend lakini msg zinazoingia ni..Mie nasubiria hasa sms za m-pesa, tigopesa, halopesa, airtel money, hahahahahah nimemkumbuka mtani wangu miss chagga
pale unaposubiria msg za tigopesa na ukijua naira kadhaa soon zitaingia kwa account for the weekend lakini msg zinazoingia ni..
sms1 TIGOPESA: "ndugu mteja tafadhali tunza na hakikisha namba yako ya siri haijulikani na mtu mwingine."
sms2 Tigopesa: "ndugu mteja hakikisha unanunua luku mapema mafundi watakua wanashughulikia mitambo huduma ya tigopesa haitakua hewani kuanzia saa 6:00pm.
sms3 Tigopesa: " ndugu mteja mafundi wameshakamilisha tatizo la kiufundi hivyo huduma ya tigopesa ipo hewani kwa sasa."
sms4 Tigopesa:"umepokea tshs 300 kutoka tigo gawio,salio lako ni tshs 335.
sms5 Tigopesa:"ndugu mteja Tigo inakukumbusha kulipa deni lako la tar 20/8/2017 lipa mapema ili uendelee kufurahia huduma zetu".
kwa mfululizo wa msg kama hizo hadi siku inaisha lazma uvunje sim.
Hivi mpaka mtu akutoe out... we mwenyewe unakuwa hujamsoma vizuri??babu hyo ni fact!huez anza ita mhhudum unauliza kilimanjaro maji sh ngap khaaaa
Hivi mpaka mtu akutoe out... we mwenyewe unakuwa hujamsoma vizuri??
Nimekuelewa sana... labda wewe ndio hujanielewa, mi nlimaanisha mpaka unakubali kutolewa out unakuwa hujamjua vizuri kuwa huyo jamaa hamnazo??duh !haya bwana nadhan hujaelewa
au mie sijakuelewa !unampa demu ofa tar 4.8 anaichomolea then anakuja kukupiga kizinga cha mtoko two wks later? anakupigaje kizinga cha mtoko??? hebu nifuimbue macho hapa nianze vizinga nxt week mie
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]hahha tupo weng !jingine inaambiwa let say 53000/ linalipuka khaa! we kwan vinywaj sh ngap hahaha hayo fanyen mshakuwa wapenzi jaman mwe mwe mwe au mshaoana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeona huyu anayelalamika, maana alikuwa kashaandaa mistari ya Assist halafu mwanaume kamshtukia.