Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Mie nasubiria hasa sms za m-pesa, tigopesa, halopesa, airtel money, hahahahahah nimemkumbuka mtani wangu miss chagga
pale unaposubiria msg za tigopesa na ukijua naira kadhaa soon zitaingia kwa account for the weekend lakini msg zinazoingia ni..

sms1 TIGOPESA: "ndugu mteja tafadhali tunza na hakikisha namba yako ya siri haijulikani na mtu mwingine."

sms2 Tigopesa: "ndugu mteja hakikisha unanunua luku mapema mafundi watakua wanashughulikia mitambo huduma ya tigopesa haitakua hewani kuanzia saa 6:00pm.

sms3 Tigopesa: " ndugu mteja mafundi wameshakamilisha tatizo la kiufundi hivyo huduma ya tigopesa ipo hewani kwa sasa."

sms4 Tigopesa:"umepokea tshs 300 kutoka tigo gawio,salio lako ni tshs 335.

sms5 Tigopesa:"ndugu mteja Tigo inakukumbusha kulipa deni lako la tar 20/8/2017 lipa mapema ili uendelee kufurahia huduma zetu".

kwa mfululizo wa msg kama hizo hadi siku inaisha lazma uvunje sim.
 
NIMECHEKA SANA JAMAN !haaaaaaaaaaaahhhh hapo kwenye gawio my ribs
 
duh !haya bwana nadhan hujaelewa
Nimekuelewa sana... labda wewe ndio hujanielewa, mi nlimaanisha mpaka unakubali kutolewa out unakuwa hujamjua vizuri kuwa huyo jamaa hamnazo??

Mwanaume mwenye akili zake hawezi kumtoa mrembo out kabla hajafanya utafiti wa gharama za sehemu anapompeleka, na kujiandaa kugharamia chochote kitakachojiri...
 
au mie sijakuelewa !unampa demu ofa tar 4.8 anaichomolea then anakuja kukupiga kizinga cha mtoko two wks later? anakupigaje kizinga cha mtoko??? hebu nifuimbue macho hapa nianze vizinga nxt week mie

No, hujaelewa. Yaani unampa offer ya kumtoa anakwambia nimebanwa, then siku anakuja kukwambia yupo free anakta siku hiyo wewe haupo njema.

Halafu unakuta hiyo chance hutaki kuipoteza maana unakuwa kama huamni vile kuwa siku hiyo kaomba mwenyewe outing.
 
Mm kuna huyo demu nilimuomba number hadi leo sijamtafuta sijui huwa anafikiri nn , mm nilitaka aone kuwa na yy ni wa kawaida tuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeona huyu anayelalamika, maana alikuwa kashaandaa mistari ya Assist halafu mwanaume kamshtukia.

Mwifwa mwifwa wewe mwifwa. [emoji40]
 
Back
Top Bottom