Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

naomba nambo yako Emmy, walai nitapiga
Hahahaaa. Nitakupiga mzinga mmoja matata sana walahi hutarudi. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ngoja niikumbike vizuri kuna tarakimu moja huwa naisahau. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
haahahahahhha, duuu! nimecheka hapo mwishoni pamoja na hiyo picha hahahahaha
Honestly, nimecheka saana baada ya kusoma huu uzi...

Hornet nafikiri sijui ni mazoea..

Nitajitolea mfano, siku hizi nitakutana na mdada tutapiga stori hadi ukitukuta utafikir tunafahamiana miaka 2 nyuma.

Wakati wa kuagana naona sio vizuri acha nichukue mawasiliano au yeye ananiwahi chukua mawasiliano yangu.

Ubaya sijui ni mambo yamekuwa mengi sijui tamaa zimepungua ukishaagana naye umesahau kila kitu. Ila nyuma kidogo siku mbili hazipiti.
 
Hahahaaa. Nitakupiga mzinga mmoja matata sana walahi hutarudi. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ngoja niikumbike vizuri kuna tarakimu moja huwa naisahau. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mzinga wowote nitaupokea tu [emoji5] [emoji5]
 
Juzi tu nimechukua namba kwa do halafu nawaza kupiga. Ujue ukisha anza mawasiliano tu kinachofuata ni kupigwa virungu. Msimu wa Mjomba magu akili inataka ila hali ya uchumi inagoma. Huu Uzi unaukweli kabisa jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini unajua nyie huwa mnaomba kisha mnasave haoo mnaondoka.
Kwa hiyo namba zenu tunakua hatuna.
ni defense mechanism.........na nakuhakikishia asilimia 70 ya namba itakayokupigia kwanza sio namba ambayo watu wote hupewa.with time,uki qualify,ndo unapewa NAMBA sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…