Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Siku hizi ukiwa msumbufu sana hata simu hatupokei. Pia mwanaume anaweza vutiwa na wewe lakini baada ya kukaa na wewe kidogo ukawa unajiachia na story za ajabu au simu za ajabu ajabu hapo automatic ukiondoka namba imefutwa
 

Hebu ni pm namba zako fasta nikupigie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…