madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,417
- 862
mnapimwa hivyo mkitoa haraka ndivyo mtu anavyoogopa kupigwa mzinga kwa haraka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenishinda tabiaNdio, tuna piga mechi kali halafu nakutoa pesa yako.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Mwifwa mwifwa wewe mwifwa. [emoji40]
Bora tu ukimbie mdogo wangu. [emoji23] [emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Duh! tena na hilo pengo lakoAiseee.......[emoji15] [emoji15]
Mdomo wangu umebaki wazi....[emoji47] [emoji47]
Kumbe mzoefu enhee [emoji41] [emoji41] [emoji41][emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Ukisemaga hivyo hata hazikuji!
Nimekumbuka tu enzi hizo mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.
Kwanini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue.
Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili, eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa, sijui aliomba ya nini mxieee"
Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba, inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.
Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.
Please remember to call back.
![]()
Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]