Hapana akisema nipe yako ni maana kwamba anataka akamate territory,.apige mwenyewe maanake akikupatia yake anaweza kusubiri meli airport.dah ivi kumbe huwa inawaumiza tusipopiga, basi msiwe na madoido tukiwaomba kuzitoa maana kuna wengine ukimuomba namba atakuletea poziii an minato kama asali hadi akija kukupa mood ishakata. ukweli n kwamba nkimuomba namba mdada af akanambia nipe ya kwako najua n maana nyingine ya kusema sitaki.
Naomba namba please!Nimekumbuka tu enzi hizo mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.
Kwanini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue.
Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili, eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa, sijui aliomba ya nini mxieee"
Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba, inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.
Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.
Please remember to call back.
Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]
Wacha tu tucheke hamna namna.Haka kauzi kameleta maana ya jf.
Wakati mwingine burudani sio kila muda tuu nondo za sia
Ooo mara dikteta uchwara,
Ooo mara msalitiiii...
Oooj. Mara makinikia
Oooh mara chadema
Ooooh, mara ma ccm
Oooh, mara noah
Leo nimeinjoi kweli,
Zaidi ya hapo..Hyo picha noma kumbe ndivyo mnavosubiria cmu zetu hahahahahaha [emoji23][emoji23][emoji130]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa unadave herufi mbili za katikati na moja ya mwisho?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekumbuka mbaali, yani simu yangu utakuta namba zinazotumika ni kama ishirini tuu
Lakini kuna vimajina hua divielewi elewi asee, nikipiga natamani muhusika ndio ajitambulishe huku ninalojina[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Manina huu uroho wa macho aseee
Kwa nyakati hizi unaweza sajiri laini leo na ukaamua leoleo ijae namba za mabinti kufika jioni.
TIZI NI KUJUA NANI NI YUPI NA YUPI NI NANI[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hahahahaa
Baby wewe tena jamani......we piga tuLakn baby mbona mm nmekuomba nikupigie umekausha hata hunijibu PM?
Alirudisha?Kuna Jamaa yangu aliwahi ambiwa nirudishie namba yangu uliiomba ya mini kama haupigi
Sent using Jamii Forums mobile app
Napiga namba umeninyima jaman baby?Baby wewe tena jamani......we piga tu
Unaweza tamanibuwapigie voda wakwambie jinaHuwa unadave herufi mbili za katikati na moja ya mwisho?
Kwa mfano dada anaitwa Khadija
Unamsave adia...
Kuja kukumbuka ni nani hapo zoezi la ziada lazima lifanyike.
Maana hamna namna tena...Mkulima wa tikiti na business card,
Kweli awamu ya tano ni ya maajabu.
Shemeji umeanza lini uchoyo??Shikamoo shemeji.
Una mkojo wa kutosha??ukiona unampa mtu business card akakikataa huyo kashuka na 'najmunisa' !unakataeje business card sasa !km hutoKei tabora,maswa,geita SIJUI!
Ooohh basi nitakutumia kuleNapiga namba umeninyima jaman baby?