Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

dah ivi kumbe huwa inawaumiza tusipopiga, basi msiwe na madoido tukiwaomba kuzitoa maana kuna wengine ukimuomba namba atakuletea poziii an minato kama asali hadi akija kukupa mood ishakata. ukweli n kwamba nkimuomba namba mdada af akanambia nipe ya kwako najua n maana nyingine ya kusema sitaki.
Hapana akisema nipe yako ni maana kwamba anataka akamate territory,.apige mwenyewe maanake akikupatia yake anaweza kusubiri meli airport.
 
Nimekumbuka tu enzi hizo mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.

Kwanini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue.

Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili, eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa, sijui aliomba ya nini mxieee"

Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba, inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.

Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.

Please remember to call back.

4b015155e1b3215f74aacab08cf5c8a8.jpg



Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]
Naomba namba please!
 
Haka kauzi kameleta maana ya jf.

Wakati mwingine burudani sio kila muda tuu nondo za sia


Ooo mara dikteta uchwara,
Ooo mara msalitiiii...


Oooj. Mara makinikia

Oooh mara chadema


Ooooh, mara ma ccm

Oooh, mara noah


Leo nimeinjoi kweli,
Wacha tu tucheke hamna namna.
MMU inapooza sana siku hizi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nimekumbuka mbaali, yani simu yangu utakuta namba zinazotumika ni kama ishirini tuu

Lakini kuna vimajina hua divielewi elewi asee, nikipiga natamani muhusika ndio ajitambulishe huku ninalojina[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]


Manina huu uroho wa macho aseee

Kwa nyakati hizi unaweza sajiri laini leo na ukaamua leoleo ijae namba za mabinti kufika jioni.


TIZI NI KUJUA NANI NI YUPI NA YUPI NI NANI[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Huwa unadave herufi mbili za katikati na moja ya mwisho?
Kwa mfano dada anaitwa Khadija
Unamsave adia...
Kuja kukumbuka ni nani hapo zoezi la ziada lazima lifanyike.
 
Huwa unadave herufi mbili za katikati na moja ya mwisho?
Kwa mfano dada anaitwa Khadija
Unamsave adia...
Kuja kukumbuka ni nani hapo zoezi la ziada lazima lifanyike.
Unaweza tamanibuwapigie voda wakwambie jina

Wakati mwingine hii ya kumwangalia M-PESA nayo inakuwaga majanga
 
Hafu muangalie na vifurushi jamani, siku hizi vinakaba ujue!![emoji38] [emoji38] [emoji38]

Nakumbuka enzi zile sh. 100 unaongea bila kikomo kuanzia saa nne[emoji134] [emoji134] voda to voda

Wakaja airtel na lipromosheni sijui lilitwaje 2000 wiki nzima wadada walikoma
 
Back
Top Bottom